This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Saturday, September 28, 2013

Rais Kikwete ahutubia Umoja wa Mataifa New York

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kikao cha 68 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa leo jijini New York Marekani.   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja  na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban- Ki- Moon ofisini kwake. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban- Ki- Moon ofisini kwake muda mfupi kabla ya kuhutubia kikao cha 68 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini...

MKE WA RAIS MAMA SALMA KIKWETE AZURU NEBRASKA NCHINI MAREKANI

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma Kikwete akipokewa na Founder, Benefactor and Chief Executive Officer wa Taasisi ya Opportunity Education Bwana Joe Ricketts kwenye uwanja wa ndege katika mji wa Omaha uliopo katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani tarehe 27.9.2013 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa binti Kate Stephens, 7, mara baada ya Mama Salma kutua kwenye uwanja wa ndege...

MBUNGE MSIGWA AMPONGEZA RAIS KIKWETE KWA MKAKATI WAKE WA KUPAMBANA NA UJANGILI , ASEMA YUPO TAYARI KUWATAJA WANAOTUMIA AMBULENCE KUSAFIRISHA PEMBE ZA NDOVU IRINGA

Mwenyekiti wa MANET Bw  Zuberi Mwachura  kulia  akieleza mkakati  wa  kupambana na vitendo vya ujangili katika  hifadhi ya taifa  ya  Ruaha  leo Mbunge  wa  jimbo la  Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akifafanua  jambo Mgeni  rasmi  katika warsha ya  siku  moja ya  kujadili  vitendo  vya ujangili katika  hifadhi...

Ulimboka, Costa na Pawasa wachambua uchezaji Simba

WACHEZAJI waliojijengea heshima kubwa wakati wakiichezea Simba wametamka maneno ya moyoni kuhusiana na mwenendo wa timu hiyo. Wachezaji hao ni Boniface Pawasa, Victor Costa, Selemani Matola na Ulimboka Mwakingwe lakini kocha Talib Hilal alipowasikia naye akaongeza neno. Pawasa ambaye alikuwa beki kisiki alisema: “Kikosi bado kinahitaji kurekebishwa hasa kwenye kombinesheni ya mabeki na ushambuliaji bado hapako sawa sana. Nafikiri baada...

RECHO ATUPIA NUSU UTUPU

 MSANII wa filamu za kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ hivi karibuni aligeuka kituko baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii. Picha hiyo ambayo Recho amevaa shati tupu (inayoonesha ndani) bila kuvaa kitu kingine chochote, aliitupia kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo mashabiki na marafiki zake walichangia huku wakimlaumu kuwa hakufanya vizuri kuiweka picha hiyo ya aibu mtandaoni. Paparazi wetu alimuuliza Recho...

MAADHIMISHO YA MIAKA 18 YA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU YAFANYIKA DAR

Dr. Ringo Tenga ambaye ni mmoja wa waasisi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), akielezea historia ya kituo hicho. (wa kwanza kulia) ni Sengodo Mvungi ambaye pia ni muasisi wa kituo hicho. Kwaya iitwayo Mwalusanya inayoundwa na wafanyakazi wa kituo hicho, ikitumbuiza wakati wa maadhimisho hayo.… Dr. Ringo Tenga ambaye ni mmoja wa waasisi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), akielezea historia ya kituo hicho. (wa...

SEMINA YA KAMATA FURSA TWENDZETU KWA VIJANA INAVYOENDELEA JIJINI MWANZA‏

   Naibu Waziri wa Madini, Mh. Stephen Masele akizungumza mada iliyohusu fursa mbalimbali zinazopatikana kwenye nishati na madini ndani ya semina ya kamata fursa twendzetu,iliyofanyika mapema leo ndani ya ukumbi wa Gold Crest.   Naibu Waziri wa Nishati na Madini,Mh Stephen Masele akimtambulisha mmiliki wa hotel kubwa ya kitalii hapa jijini…    Mkuu wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Mh.Yahaya Nawanda akizungumzia...