This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Sunday, June 2, 2013

AIRTEL RISING STARS 2013 YAIVA

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Bw. Jackson Mmbando, akiongea na makatibu wakuu wa mikoa na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TFF jana. Katibu mkuu mkoa wa kisoka wa Temeke, Mbarouk Mohammed (kulia) akichukuwa karatasi wakati wa kupanga makundi na ratiba ya michuano ya Taifa ya Airtel Rising Stars iliyopangwa kuanza mwezi Julai, 2013 uwanja… Meneja ...
  Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, wakiwa katika zoezi la kutoa miili ya marehemu waliopoteza maisha katika ajali ya kuangukiwa na ukuta wa tanki la maji eneo la Machomanne Chake Chake Pemba leo.… Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, wakiwa katika zoezi la kutoa miili ya marehemu waliopoteza maisha katika ajali ya kuangukiwa na ukuta wa tanki la maji eneo la Machomanne...

MIRAJI KIKWETE ATOA FULANI KWA AJILI YA MSIBA WA MSANII MANGWEHA

Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia). Miraji akiwa katika pozi na fulana sawa na ya marehemu Mangweha hapo chini.… Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia). Miraji akiwa katika pozi na fulana...

KIBAKA ACHOMWA MOTO HUKO MBAGALA BAADA YA KUIBA BEGI NA SIMU.....

Jamaa  akimmalizia mtuhumiwa kwa  tofali...  Kibaka  mmoja  amejikuta  akiyaaga  maisha ya  uraiani  baada ya   kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali.... Tukio hili limetokea maeneo ya mbagala charambe mida ya saa sita mchana baada ya kibaka huyu kuingia  ndani ya nyumba ya mtu na kuiba begi... Taarifa zinaeleza kwamba, raia mwema ambaye ni mkazi wa...