This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Wednesday, April 17, 2013

WEMA AIBU YAKE! ADAIWA KUPIGIA SIMU DIAMOND NA KUJITONGOZESHA UPYA

Aibu imemshuka, imemfika, imemwenea na imemtapakaa kila upande, Miss Tanzania 2006-07, Wema Isaac Sepetu. Hivi leo, endapo utamkuta Wema akiwa ametulia kisha ukamtishia ukitumia sauti ya juu kuyataja majina ya Diamond na Penny, kuna uwezekano mkubwa mrembo huyo akavunja mguu kwa kukimbia ‘spidi’ kali. Ikamshuka Wema; Jumatatu iliyopita, usiku mkubwa, inadaiwa kuwa mrembo huyo akiwa...

AUNT:WABUNGE WANATAKA KUNIVUNJIA NDOA

Stori: IMELDA MTEMA DIVA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameinua kinywa chake na kudai kwamba kuna baadhi ya wabunge wamekuwa wakimtongoza kwa nia ya kupata penzi kwake, Amani linasimulia aliyoyasema. Akizungumza na mwandishi wa habari hii juzi jijini Dar, Aunt alisema waheshimiwa hao wanajua tayari yeye ameshaolewa lakini wamekuwa wakimpa usumbufu mkubwa na kutoa ahadi balimbali,...

"WAISLAMU PEKEE NDO WARUHUSIWE KUCHINJA NYAMA YA BIASHARA"....HII NI KAILI YA LEO YA RAIS MWINYI

Hii  ni  video  ikionesha  kauli  ya  Rais  Mwinyi  kuhusu  suala  la  kuchinja.Kauli  hii  amaitoa  leo  alipoongea  na  waandishi  wa ...

CHEKA NA KATUNI ZA GPL - Hello:

www.facebook.comCHEKA NA KATUNI ZA GPL - Hel...

MUNGU AILAZE PAHALI PEMA PEPONI

Mwanamuziki mkongwe katika Taarab Fatuma Bint Mbaraka maarufu kwa jina la Bi Kidude amefariki dunia leo mchana  huko Bububu Zanzibar, sehemu alikokuwa anaugulia kwa kipindi sasa. Mwili wake utahamishiwa kwake Rahaleo na mazishi yatakuwa kesho.  Bi Kidude alizaliwa katika kijiji cha Mfagimaringo..Alikuwa binti... wa mchuuzi wa nazi na hakuna anayejua haswa Bibi huyu alizaliwa tarehe ngapi, kuna hata mawazo kuwa alikwishafikisha...

"COME- ON.....FU*KY YOU"......HILI NI TUSI LA NGUONI TOKA KWA SERUKAMBA BUNGENI LEO....USHAHIDI UPO

Baada ya kuona kusitisha bunge kurushwa live kumepigwa vita, sasa wabunge wamekuja kwa staili ya matusi ili wananchi wasiwe na hamu kabisa ya kuliangalia bunge.... LEO kwa mara nyingine tena, Mh.Peter Serukamba amesikika waziwazi kabisa akitoa tusi mbele ya bunge na hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi yake. Bila woga wala aibu ya kuwa huenda anasikilizwa na wakwe zake ,Serukamba amesikika akisema "Come-on F.U.C.K Y.O.U."   TUKIO ...