This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Sunday, July 7, 2013

BONGO FLEVA WAICHAPA BONGO MUVI KWA PENALTI 2-1

Nahodha wa Bongo Fleva, Hamis Baba 'H Baba' akipokea kombe kutoka kwa Mhe. William Ngeleja. Bongo Fleva wakisherehekea ushindi wao. Bongo Muvi… Nahodha wa Bongo Fleva, Hamis Baba 'H Baba' akipokea kombe kutoka kwa Mhe. William Ngeleja. Bongo Fleva wakisherehekea ushindi wao. Bongo...

ANGA WAILAZA SIMBA KWA PENATI 4-3, WATWAA KOMBE

Wachezaji wa Yanga (wabunge) wakishangilia na kombe lao. Wachezaji wa Yanga (wabunge) wakishangilia baada ya kuwalaza watani wao Simba (Wabunge) kwa penati… Wachezaji wa Yanga (wabunge) wakishangilia na kombe lao. Wachezaji wa Yanga (wabunge) wakishangilia baada ya kuwalaza watani wao ...

LOWASSA APONGEZWA NA BAKWATA KWA KUVISHWA JOHO MAALUMU.....MILIONI 590 ZACHANGISHWA KATIKA HARAMBEE

Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akipongezwa na kiongozi wa Sunni al Jamaa Afrika Mashariki, Shariff Hussein al Badawi kwa kumvika joho la kilemba  baada ya kufanikisha harambee kwa ajili ya Kituo cha Redio Ikra kinachomilikiwa na Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Mwanza.  Anayeshuhudia ni Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Sheikh Salum Hassan Fereji.  Katika harambee hiyo zaidi ya sh. mil. 590 zilipatikana...

UMATI WA WATU WALIOJITOKEZA KATIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI

    ...

MWANACHUO WA MWAKA WA KWANZA ALAANI KITENDO CHA KUPIGWA "EXILE" NA MADENTI WENZIE

Vitendo  vya  wanafunzi  kupigana  exile( kumpisha room ili angonoke na mpenzi wake)   vimekuwa  vikishika  kasi  ya  ajabu  katika  hosteli  za  wanafunzi  wa  vyuo  vikuu  mbalimbali ambao  kwao  limekuwa  ni  jambo  la  kawaida...!! Hali  imekuwa  ni tofauti  kidogo  kwa  mwanafunzi  wa ...

LEO NDIO LE

JACOB STEVEN (JB). HALIMA MDEE. PATRICK AMOTE (KENYA).…JACOB STEVEN (JB). HALIMA MDEE. PATRICK AMOTE (KENYA). ESTER BULAYA. VINCENT KIGOSI 'RAY'. SHADRACK MUCHANJE (KENYA). THOMAS MASHALI. AUNT EZEKIEL. IDD AZZAN. FRANCIS MIYEYUSHO. JACQUELINE WOLER. ZITTO KABWE. PICHANI JUU NI TASWIRA ZA WATAKAOPANDA ULINGONI KUZIPIGA KATIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2013 LITAKALOFANYIKA...

BASI LA SUMMRY LAUA WATU 9 NA KUJERUHI 53

Basi la kampuni ya Sumry limetumbukia mtoni na kuua watu tisa na kujeruhi wengine hamsini na tatu. Ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Sitalike wilaya ya Mlele mkoani Katavi Tukio hilo la kusikitisha lilitokea saa sita usiku kuamkia Julai 5, 2013 basi hilo lilipokuwa likitokea mjini Sumbawanga kuelekea Mpanda mkoani Katavi likiwa na abiri waliokuwa wametoka Mbeya.  Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Katavi Emanuely Nnley...