Home »
» WOMEN CELEBRATIONS 2013
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiSQZ0pU7QEbdZP-Gx9m8fofAQIkdYrHOoBxo5q0VEMN2OxHRoZ_Am2vIl4s3wHMD8g8WUK9U7wZdqPG5ywRLP8KGy5RaiFJKWgEWNZkhXp8LphHeYJKowYlfxxOB1ZMi08Nup_r7TaHBud/s1600/8.jpg) |
Vazi
la kitenge ndio vazi lililotawala kwa asilimia 90% siku ya Women's
Celebration, mavazi hayo yalioshonwa kwa mitindo aina mbali mbali
yaliwapendeza sana wageni waliohudhuria shughuli hiyo pale Diomond
Jubilee, V.I.P Hall, March 3,2013.
MITINDO YA NYWELE |
Masuala ya Nywele nayo hayakuwa nyuma katika shughuli hiyo ya Women's Celebration ,Diamond Jubilee V.I.P hall, march 3,2013.
0 comments:
Post a Comment