This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Tuesday, July 15, 2014

Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Hague atangaza kujiuzulu.

   Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza William Hague alisema  jumatatu kuwa anajiuzulu kama mwanadiplomasia wa juu baada ya miaka minne katika kazi hiyo, ikiwa ni sehemu ya  mabadiliko makubwa yaliofanywa na waziri mkuu David Cameron tangu kuchaguliwa kwake 2010. Hague aliandika katika ukurasa wake wa Twitter kwamba anajiuzulu na hatagombea ubunge katika uchaguzi mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika Mei mwakani.Vyombo...