This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Tuesday, April 2, 2013

VODACOM FOUNDATION YASAIDIA UJENZI WA KITUO CHA AFYA PEMBA

Mkuu wa Mfuko wa Vodacom wa Kusaidia Jamii - (Vodacom Foundation), Yessaya Mwakifulefule, akikabdhi kwa mmoja wa wazee wa Shehia ya Michenzani Mkoa wa Kusini Pemba mfano wa hundi yenye thamani ya Sh. milioni 30. Fedha hizo zimetolewa kumalizia ujenzi wa jengo la kituo cha afya cha Michenzani ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya katika eneo hilo. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (wa pili kulia) na Meneja...

TASWIRA MBALIMBALI ZA MAKAMUZI YA TMK FAMILY NA TMK HALISI NDANI YA DAR LIVE

Bi. Cheka akikamua sambamba na Mhe. Temba. Mhe. Temba akiwapa hi fans wake. Juma Kassim Nature 'Kiroboto' nae akisema na wanae. Mashabiki wakiwa wamekolea na shoo za Dar Live. TMK Halisi mzigoni. TMK Family wakilishambulia jukwaa. Juma Nature 'Sir Nature' akiwapagawisha mashabiki wake. Profesa J akiwapa raha mashabiki. Inspekta Haroun wa Gangwe Mob naye alikuwepo kutoa burudani. Malkia...

UKWELI KAMILI NI HUU

Na Waandishi Wetu JENGO lenye urefu wa ghorofa 16, lililoanguka katikati ya Jiji la Dar es Salaam na kusababisha vifo, ulemavu wa watu pamoja na uharibifu wa mali, lilikuwa lazima lianguke. Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete wakiwa katika wodi ya Taasisi ya Mifupa ya MOI katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam wakimpa pole kijana  Mohamed Ally Dhamji ambaye ni miongoni mwa  majeruhi...

KIJIJI CHA MISUKULE CHAFUMULIWA

INATISHA na hofu kubwa imetanda katika Kijiji cha Kimange, Wilaya ya Bagamoyo  mkoani Pwani kufuatia baadhi ya viongozi  wa dini kuwatumia vijana wa hapo kama misukule ili wapelekwe kanisani. Msukule. Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa nia ya viongozi hao wa dini kuteua kijiji hicho na kuwatumia vijana wa hapo kama misukule ni kuwalaghai waumini kwamba wana uwezo wa kufufua watu wanaodaiwa kufa na kuchukuliwa kimazingara.Gazeti...