This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, July 26, 2013

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIWA WILAYANI MULEBA

Rais Kikwete akivikwa skafu na skauti baada ya kuwasili Muleba. Vikundi vya ngoma vikitumbuiza wageni.… Rais Kikwete akivikwa skafu na skauti baada ya kuwasili Muleba. Vikundi vya ngoma vikitumbuiza wageni. Rais Kikwete akisalimiana na mama wa Profesa Anna Tibaijuka. Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka akishiriki katika ngoma ya utamaduni wakati wa mapokezi ya Rais Kikwete...

ALIYETIMULIWA KANIKASI AKIWA NA VAZI LA NUSU UCHI ADAI KUWA KANISA LIMEMUONEA, WALIMSUKUMA AKAANGUKA NA WAMEHARIBU VIATU VYAKE VYA "UINGEREZA"..!!!

  Wakati mwanamke wa kivazi kilichositisha ndoa kanisani kwa dakika kadhaa akidai hakuwa na tatizo kuvaa vile, Katekista wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Peter, Yohane Maboko, amesisitiza kuwa alikiuka maadili ya Kanisa. Mwanamke huyo ambaye ameendelea kukataa kutaja jina lake, huku njia zingine zikimtaja kwa jina la Restituta Kalemera, alidai juzi kuwa kivazi hicho cha mabega wazi hakikuwa tatizo kanisani, bali ni unyanyasaji...

MWANAMKE E ALIYEPANGA KUMUUA MUMEWE AFIKISHWA MAHAKAMANI HUKO ARUSHA

Mwanamke anayedaiwa kupanga njama za kumuua mumewe wa ndoa na mtoto wa mume huyo, amepandishwa mahakamani akiwa na mtuhumiwa mwingine wa mauaji hayo. Janeth Jackson (32), mkazi wa Moshono, Arusha na Novatus Elias, walifikishwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Arusha /Arumeru, Devotha Kamuzora, wakisomewa makosa mawili ya kula njama ya kutaka kumuua Simon Jackson ambaye ndiye...

VAI WA UKWELI AMTAKA MUME WA AUNT EZEKIE

KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii anayechipukia katika filamu za Kibongo, Isabella Fransis ‘Vai wa Ukweli’ anamtafuta ubaya gwiji katika tasnia hiyo, Aunt Ezekiel kwa kusema anamtamani mumewe. Isabella Fransis ‘Vai wa Ukweli’. Vai wa Ukweli bila ya kupindisha maneno amedai kuwa hapati usingizi kutokana na kumzimia Sunday Demonte ambaye ni mume wa Aunt. Akizungumza na mwandishi wetu, Vai alisema ili kuonesha kuwa anachokisema kinatoka...

DANGURO LA MAKAHABA LAFUMULIWA

 Hili ni sakata la  kikongwe mmoja anayedaiwa kumiliki idadi kubwa ya madanguro katika uwanja wake na kuwapangisha makahaba katika eneo maarufu kwa jina la Kijiji cha Makahaba. Mwandishi wetu alipokea ujumbe mfupi ulioelezea ufuska unaofanywa na mabinti ambao hupewa eneo na kujenga vibanda kisha kujiuza kwa bei chee katika kijiji hicho maeneo ya Kigamboni jijini Dar. Bada ya simu hiyo, uchunguzi wetu  ulibaini kwamba, eneo...

HII NDO HALI HALISI YA MMILIKI WA HOME SHOPPING CENTER ALIYEMWAGIWA TINDIKALI

MFANYABIASHARA maarufu na Mmiliki wa maduka ya Home Shopping Center (HSC), Said Mohamed Saad, ambaye wiki iliyopita alimwagiwa tindikali maeneo ya Msasani City Mall, jijini Dar es Salaam, sasa yuko Afrika Kusini kwa matibabu zaidi.  Wiki iliyopita majira ya saa moja jioni, mfanyabiashara huyo alimwagiwa tindikali na mtu mmoja ambaye hakufahamika na mara baada ya kutenda tukio hilo, mhusika alikimbia huku mlinzi wa eneo hilo akijaribu...