This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Saturday, April 27, 2013

NU JOINT: JANA NA LEO / YOUNG KILLER FEAT STAMINA NA QUICK RACKA

 Ikiwa bado ngoma yake "Dear Gambe" bado inafanya vizuri kaika chati mbali mbali, leo hii Young Killer, msanii anae wakilisha Mwanza, amedondosha boooonge moja la pini ikiwa ni kolabo na Stamina na Quick Racka akiwa ameshikilia chorus, mkono wa producer D classic na Mona Gangsta...

RAISI KIKWETE ASAMEHE WAFUNGWA 40000

Rais Jakaya Kikwete jana aliongoza maelfu ya Watanzania katika maadhimisho ya miaka 49 ya muungano yaliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam na baadaye kusamehe wafungwa 4,180.   Idadi kubwa ya watanzania walishiriki katika maadhimisho hayo hayo ambayo yalianza saa 2:30 asubuhi na kupambwa na gwaride rasmi lililoandaliwa na vikosi mbalimbali vya ulinzi na usalama na kupendezeshwa na halaiki ya wanafunzi...

WANAFUNZI WA VYUO VIKUU 13 WASHIRIKI KWENYE WARSHA YA MAANDALIZI YA AJIRA PINDI WAMALIZAPO MASOMO YAO‏

Rais wa chama cha wanafunzi wa vyuo vikuu(AIESEC)Bw.Frank Mushi,akiongea katika warsha ya 14 inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo ya vyuo vikuuwarsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu 13 walioshiriki katika warsha ya 14 inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo yao ya ...

HAYA NDO MAKOSA MATATU YALIYOMFANYA GODBLESS LEMA ANYIMWE DHAMANA JANA JIONI

Mambo yaliyomfanya Mbunge wa arusha Godbless Lema akamatwe na kunyimwa dhamana jana  jioni ni haya yafuatayo baada ya kuongea na Mwanasheria wa Lema wakili Humphrey Mtui i)Kosa la kwanza ni kuwaambia wanafunzi wa chuo cha uhasibu alipoenda kuwatuliza kuwa ‘dhambi kubwa kuliko zote ni woga ‘.Haki hutafutwa na kupiganiwa ikiwa jambo unalipigania ni la msingi na linafaa kupiganiwa(Worth fighting for)ii)Kosa la pili ni pale alipotamka...

REDDS MISS DAR INDIAN OCEAN‏ WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS

Washiriki wa Redds Miss Dar Indian Ocean 2013 wakiwa katika picha ya pamoja wapotembelea Ofisi za Global Pulishers zilizopo maeneo ya Bamaba-Mwenge, Dar Jana Washiliki wakiwa na Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa, John… Washiriki wa Redds Miss Dar Indian Ocean 2013 wakiwa katika picha ya pamoja wapotembelea Ofisi za Global Pulishers zilizopo maeneo ya Bamaba-Mwenge, Dar J...