This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Tuesday, March 5, 2013

WOMEN CELEBRATIONS 2013

Vazi la kitenge ndio vazi lililotawala kwa asilimia 90% siku ya Women's Celebration, mavazi hayo yalioshonwa kwa mitindo aina mbali mbali yaliwapendeza sana wageni waliohudhuria shughuli hiyo pale Diomond Jubilee, V.I.P Hall, March 3,2013. MITINDO YA NYWELE Masuala ya Nywele nayo hayakuwa nyuma katika shughuli hiyo ya Women's Celebration ,Diamond Jubilee...

TFF IMEPENDEKEZA KIKAO NA Mukangara KIFANYIKE KESHOKUTWA (MACHI 7 MWAKA HUU ) AU MARCH 13 MWAKA HUU

TFF IMEPENDEKEZA KIKAO NA Mukangara KIFANYIKE KESHOKUTWA (MACHI 7 MWAKA HUU ) AU MARCH 13 MWAKA HUU     Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewasilisha rasmi maombi ya kuonana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara ili kuzungumzia uamuzi wake wa kutengua usajili wa Katiba ya 2012. Maombi hayo yaliwasilishwa rasmi Wizarani jana (Machi 4 mwaka huu) ambapo TFF imependekeza...

ZFA YAKUBALI MAKUNGU KUACHIA NGAZI YAMSHUKURU KWA KILA JAMBO KUPATA RAIS MWINGINE NDANI YA SIKU TISINI

  Kamati ya Utendaji ya Chama cha Soka Zanzibar (ZFA), Kimeridhia  Maombi ya Aliyekuwa  Rais chama hicho , Aman Ibrahim Makungu kuachingazi nafasi hiyo. Katika Barua iliyoandikwa na ZFA Machi 4, mwaka huu,  , iliyoisainiwa na Makamu wa Rais Kisiwani Unguja, ambaye pia ni Kaimu Rais wa ZFA kikatiba, Alhaj Haji Ameir, ikiwa na Kumbukumbu namba. ZFA/PRESIDENT/VOL.11/05. Barua hiyo inasomeka  Kamati ya Utendaji...

NDOTO ZA MACHESTER UTD KUTWAA TAJI LA ULAYA ZAISHIA KATIKA MJADARA MKUBWA ULAYA

FERGUSON ASUSIA WANAHABARI KISA KADI NYEKUNDU Kocha wa Manchester United  Sir Alex Ferguson hakuwa tayari kuzungumza na vyomb vya habari ,baada ya timu kusukmwa nje ya ligi ya mabingwa barani ulaya Dhidi ya   Real Madrid katika uwanja wa   Old Trafford. Ferguson alishindwa kumvumilia  mwamuzi kutoka uturuki Cuneyt Cakir baada ya kumpa kadi nyekundu  Nani baada ya kumfanyia rafu mbaya ...

Kiwanda cha sukari cha Mahonda visiwani Zanzibar kuzalisha Tani 400 za Sukari safi ikiwa ni sawa na Tani 40 kwa siku.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd akiangalia waya wa umeme aina ya shaba ambao amezuia mauzo yake hadi uongozi wa kiwanda cha sukari utapokaa pamoja na Wizara ya fedha kufikia maamuzi. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiuagiza Uongozi wa Kiwanda cha sukari Mahonda kukaa pamoja na Wizara inayosimamia Fedha Zanzibar ili kufikia mwafaka wa matumizi ya waya wa umeme wa aina ya shaba ambao tayari ulikuwa umeshauzwa.    Makamu...

Polisi wasaka wauaji wa kigogo UVCCM

eshi la Polisi mkoani Arusha linawasaka wanawake wawili kufuatia kifo cha kutatanisha cha mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa kupitia Mkoa wa Arusha, Benson Peter Mollel (26). Inadaiwa kuwa wanawake hao walikuwa na Mollel kabla ya kufariki dunia ghafla juzi katika chumba cha hoteli moja jijini hapa. Tukio hilo lilitokea mchana baada ya mwili wa merehemu kugunduliwa na wahudumu wa hotel hiyo walipotaka kukifanyia...