Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Idd akiangalia waya wa umeme aina ya shaba ambao amezuia mauzo yake hadi
uongozi wa kiwanda cha sukari utapokaa pamoja na Wizara ya fedha kufikia
maamuzi.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akiuagiza
Uongozi wa Kiwanda cha sukari Mahonda kukaa pamoja na Wizara inayosimamia Fedha
Zanzibar ili kufikia mwafaka wa matumizi ya waya wa umeme wa aina ya shaba ambao
tayari ulikuwa umeshauzwa.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif
Ali Iddi akitembelea kiwanda cha sukari Mahonda akiwa pamoja na Uongozi wa
Kiwanda hicho. Picha na
Hassan Issa –Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar
Tuesday, March 5, 2013
Home »
» Kiwanda cha sukari cha Mahonda visiwani Zanzibar kuzalisha Tani 400 za Sukari safi ikiwa ni sawa na Tani 40 kwa siku.
0 comments:
Post a Comment