This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Wednesday, September 11, 2013

SIRI NJE

USIRI ulikuwa umetawala kuhusu mmiliki wa meli ya Kitanzania iliyonaswa juzi nchini Italia, ikiwa na tani 30 za madawa ya kulevya aina ya bangi lakini sasa kila kitu kinaweza kuwekwa nje bin hadharani kutokana na taarifa mpya ambazo gazeti hili limezipata. Mv Gold Star ikiungua. Uwazi linazo ‘data’ kuwa mmoja wa wamiliki wa meli hiyo ni mfanyabiashara wa Kitanzania mwenye asili ya Bara la Asia ambaye alipata kuwa memba...

NJEMBA YAMKUTA MAZITO

NJEMBA moja iliyojulikana kwa jina la Haji Bakari maarufu kama Mchome limekamatwa baada ya kudaiwa kutapeli kiasi cha shilingi 570,000 kwa njia ya simu za mkononi. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, njemba hilo lilifanikisha utapeli huo kwa kutumia majina ya watu wanaofahamiana na washirika kibiashara. Kijana huyo aliomba pesa hizo kwa madai kuwa gari lake limemharibikia...

DENTI ALIYEDAI KUZAA NA DIAMOND... AUMBUKA, ATISHIA KUJIUA

Video: Sasha siku alipokuwa akiongea na GPL kuhusu madai ya kuzaa na Diamond. MREMBO Sasha Juma, 20, kwa sasa anapitia kipindi cha majuto, analipia gharama ya kujivalisha ubandidu na kujisingizia kupewa mimba na supastaa, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond’.  Sasha Juma akiongea na… Video: Sasha siku alipokuwa akiongea na GPL kuhusu madai ya kuzaa na Diamond. MREMBO Sasha Juma,...

Rais Kikwete azindua miradi ya maji na umeme Sengerema

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi katika mradi wa maji Katika kijiji cha Katunguru/Nyamtelela wilayani Sengerema,Mkoani Mwanza leo.Kulia ni Waziri wa Maji Profesa Jumanne Maghembe. Mwakilishi wa Serikali ya watu wa Marekani Bwana Karl Fickenscher akitoa hati ya kukabidhi mradi wa MCC I kwa waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakati wa  hafla ya ufunguzi wa njia mpya za umeme...

HODGSON APUMUA INGAWA KAZI IPO, ATOKA 0-0 NA UKRAINE, MECHI DHIDI YA MONTENEGRO NA POLAND NDIO MAHAKAMA YAKE!!

Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail MENEJA wa Timu ya Taifa ya England, maarufu `Simba Watatu`, Roy Hodgson amepumua kidogo katika harakati zake za kuwania kucheza fainali za kombe la Dunia mwakani nchini Brazi baada ya kutoka suluhu dhidi ya Ukraine jana usiku. England iliingia uwanjani kupambana kwa nguvu bila ya nyota wake Wayne Mark Rooney, Dany Welbeck na Daniel Sturrage kutokana na sababu tofauti. Sturrage na Rooney ni majeruhi,...

SADC yamuonya Kagame kuhusu mipango yake ya kuivamia Tanzania baada ya kuomba msaada wa kijeshi toka Kenya na Uganda

MZOZO wa kidiplomasia alioibua Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwa Rais Jakaya Kikwete, sasa unaonekana kuchukua mwelekeo mpya, baada ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kumuonya kiongozi huyo kuacha mara moja fikra zozote mbaya dhidi ya Tanzania, MTANZANIA Jumatano limedokezwa.  Habari za uhakika na za kuaminika kutoka miongoni mwa viongozi wa juu wa SADC na maofisa wa Serikali, waliokuwa katika ujumbe wa Rais Jakaya Kikwete...