Bondia
Fransic Cheka Kushoto akipambani na Thomas Mshali wakati wa mpambano
wao uliofanyika katika sikukuu ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba
Dar es salaam Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya kumi Picha na www.superdboxingcoach. |
Bondia
Fransic Cheka Kushoto akimshambilia kwa makonde ya nguvu Thomas Mshali
wakati wa mpambano wao uliofanyika katika sikukuu ya mei mosi katika
ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Cheka alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya kumi Picha nawww.superdboxingcoach. |
Bondia
Shabani Mhamila 'Star Boy' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana
masumbwi na Yusuph Jibaba wakati wa mpambano wao uliofanyika mei mosi
katika ukumbi wa PTA Saba saba Dar es salaam Star Boy alishinda kwa KNOCKOUT raundi ya nne Picha nawww.superdboxingcoach. |

katika ukumbi wa PTA Saba saba Dar es salaam Star Boy alishinda kwa KNOCKOUTraundi ya nne Picha nawww.superdboxingcoach. |
Bondia Shabani Mhamila 'Star Boy' akishangilia ushindi uku akiwa amebebwa juu juu kama mkungu wa ndizi Picha na www.superdboxingcoach. |
Bondia
Cosmas Cheka kushoto akipambana na Charles Mashali wakati wa mpambano
wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba siku ya mei mosi Cheka
alishinda kwa ponti mpambano huo Picha na www.superdboxingcoach. |
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' akimsindikiza wakati wa kupigana bondia Ibrahimu Class 'King class Mawe wakati wa mpambano wake na amos mwamakula |
Bondia Amos Mwamakula kushoto na Ibrahimu Class 'King Class mawe' wakisubili matokeo ambapo class alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach. |
Bondia Thomas Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Fransic Cheka katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam Cheka alishinda kwa KNOCKOUT |
Shomari kimbau akiwa na Cheka baada ya kumvisha ubingwa wa IBF Africa aliokuwa akiutetea |
Rashidi Mhamila 'Ngade akiwa amepozi na Bady Boy wakati wa onesho hilo |