Burudani za ngoma za asili za Kisukuma na nyimbo za taarab kutoka kwa walimu zilifanikisha vilivyo sherehe za Mei Mosi mkoani Shinyanga jana.…
Burudani za ngoma za asili za Kisukuma na nyimbo za taarab kutoka kwa walimu zilifanikisha vilivyo sherehe za Mei Mosi mkoani Shinyanga jana.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2mG3bvp6jRlHzQIa7LY4fZon2ubVlffnorhnIbAjm_7qk5CbcCnkkLzdAB3eyOOhOvokE2NcjpglarHixUHGsqGrJVicpOD3BV5u8vgBsBdPNMz7CNhsR0ai1AWuskYM7BXbZOsLpPcA/s640/DSC04184.JPG)
Mwenyekiti
wa TUICO mkoa wa Shinyanga, Bw. Fue Mrindoko akimkaribisha Mhe. Ali N.
Rufunga kuzungumza na wafanyakazi waliofurika katika uwanja cha Jamhuri
mjini Kahama.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwFv4byPhSMuqUM6NTZuMKD-LZyFqe12QkblSf8mJnj6Xrx_3XFlr9Y0yit4Eiq3o7qmTXPoa1Rh_CtSmaEUPkEkxQ2qRj4BtoSSpwHW9sH6jXrMfbnhhGFSIgqh0-5qO0HPHqkDsMx6Y/s640/DSC04186.JPG)
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Ally Rufunga akihutubia wafanyakazi jana katika uwanja wa Jamhuri wilayani Kahama.
(Picha na Magdalena Nkulu, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Shinyanga)
0 comments:
Post a Comment