This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Tuesday, March 12, 2013

HABARI ZA MAGAZETI

. . . . . . . . . . . . . . . . ...

BASI UNAAMBIWA HUYU NDIO MTOTO WA MIAKA 8 ALIYEMUOA HUYU MWANAMKE WA MIAKA 61

Hii imetokea Tshwane South Africa. Huyu mtoto anasema wazee wa zamani ndio walimuamrisha aoe lakini pamoja na hilo, hawajasaini cheti cha ndoa na wala hawaishi pamoja ambapo wazazi wa huyu bwana harusi walichangia harusi kwa kutoa euro 1500 ambazo walisisitiza ni kama matambiko na sio kisheria. Mtoto huyu aitwae Sanele amekaririwa akisema “nilimwambia mama yangu, nahitaji kweli kuoa na nimefurahi nimemuoa Helen lakini nikikua nitaoa mwanamke...

Manyara Yashinda Tuzo ya Vipaji Miss Utalii 2013

  Mshindi wa Miss Utalii Vipaji kutoka Mkoa wa Manyara wa kati kati akiwa na washindi wenzake wawili waliofika mpaka Tatu bora HATIMAYE Mshiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 kupitia Mkoa wa Manyara ameshinda tuzo ya vipaji 2012/13 na kuibwaga mikoa mingine 29 ya Tanzania Bara na Zanzibar. Mrembo Miss Mary (19) alionesha kipaji cha hali ya juu katika ushindani ambao ulikuwa mkubwa...

mh.kinana ashawishi wachina kuwekeza nchini

NA BASHIR NKOROMO, CHINA KATIBU Mkuu wa Chama CHa Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amekiomba Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) kuhimiza wananchi wa China kuchangamkia fursa ya kuwezeka nchini Tanzania. Alisema, Wachina kuwekeza na kushiriki shughuli nyingi za kiuchumi Tanzania ni miongoni mwa kiunganishi kikubwa kitakachoweza kudumisha urafiki na undugu wa siku nyingi kati ya nchi hizo mbili ambao hadi sasa ni wa kupigiwa...

Airtel yamzawadia mkazi wa Rufiji millioni 15 kupitia promosheni ya Amka millionea

Meneja Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (kulia) akimkabithi mshindi wa mwenzi January wa promosheni ya Amka millionea  bi Agnes Hassan Chakame mfano wa hundi ya shilingi million 15 baada ya kuibuka mshindi wa promosheni ya Amka millionea na Airtel na kujishindia kitita cha shilingi million 15. Agnes ni Mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa pwani. Akishuhudia ni Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde Afisa uhusiano...

JK OPENS THE CONFERENCE ON THE STRATEGIC IMPORTANCE OF INTELLECTUAL PROPERTY (IP) POLICIES

Dr. Abdallah Kigoda, Minister for Industry and Trade makes a brief introduction before the  opening of the African Conference on the Strategic Importance of Intellectual Property Policies to Foster Innovation,...

DKT. BILAL AKUTANA NA CITIBANK

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mkurugenzi wa Citibank’s Patrick Dewide na Mkurugenzi Mtendaji wa Citibank Tanzania Joseph Carasso (kushoto) wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo.( Picha na OMR)....

CUF WAITEKA TEMEKE

   Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Zakiem, Jimbo la Temeke   Naibu Katibu Mkuu wa CUF Tanzania Bara Julius...