Home »
» Airtel yamzawadia mkazi wa Rufiji millioni 15 kupitia promosheni ya Amka millionea
Meneja
Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando (kulia) akimkabithi mshindi wa
mwenzi January wa promosheni ya Amka millionea bi Agnes Hassan Chakame
mfano wa hundi ya shilingi million 15 baada ya kuibuka mshindi wa
promosheni ya Amka millionea na Airtel na kujishindia kitita cha
shilingi million 15. Agnes ni Mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa pwani.
Akishuhudia ni Afisa uhusiano wa Airtel Jane Matinde
Mshindi wa mwenzi January wa promosheni ya Amka millionea bi
Agnes Hassan Chakame akionyesha mfano wa hundi ya shilingi million 15
mara baada kuamka mshindi wa promosheni ya Amka millionea na Airtel na
kujishindia kitita cha shilingi million 15. Agnes ni Mkulima na mkazi wa
Rufiji mkoa wa pwani.
0 comments:
Post a Comment