This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Sunday, April 14, 2013

PICHA ZA MABAKI YA NDEGE ILIYODONDOKA JANA JIJINI ARUSHA - Hello:

www.facebook.comPICHA ZA MABAKI YA NDEGE ILIYODONDOKA JANA JIJINI ARUSHA - Hel...

HII NDO LAANA INAYOTENDEKA MOMBASA......NASIKIA HUKO HADI WANAUME HUJIUZA

The 21st century generation seems to have thrown all caution and the respectable ways that the forefathers fought so hard to see their children grow up with are no longer there. In Mombasa at some night clubs this is what goes down....

YANGA YAZIDI KUJIKITA KILELENI

Timu za Yanga na JKT Oljoro zikiingia uwanjani. Yanga wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Simon Msuva.… Timu za Yanga na JKT Oljoro zikiingia uwanjani. Yanga wakishangilia bao lao la kwanza lililofungwa na Simon Msuva. Hekaheka langoni mwa JKT Oljoro. Haruna Niyonzima akijaribu kuipita ngome ya JKT Oljoro. Hamis Kiiza akiifungia Yanga bao la tatu. Mshikemshike langoni mwa Yanga. Wanausalama wakifuatilia soka. Mpaka mwisho...

CHADEMA YAZINDUA KANDA YA PWANI

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa akiongea wakati wa Kongamano la uzinduzi wa Kanda ya Pwani lililofanyika jana  jijini Dar es Salaam katika Hotel ya Blue Pearl- Ubungo Plaza. Wana Chadema wakifuatilia kwa makini kongamano… Wana Chadema wakifuatilia kwa makini kongamano hilo. Makamu Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani (Chadema), Mabere Nyaucho Marando (kulia) akifuatilia kongamano hil...

ESTER BULAYA AZINDUA MICHUANO YA 'ESTHER CUP

Esther Bulaya akifafanua jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa michuano ya 'Esther Cup'. Wanahabari wakimsikiliza mbunge Esther Bulaya.… Esther Bulaya akihojiwa na mwanahabari kutoka ITV, Amri Massare. MBUNGE wa Viti Maalum CCM, Esther Bulaya, jana alizindua rasmi michuano ya 'Esther Cup' itakayofanyaika katika wilaya ya Bunda mkoani Mara hivi karibuni. Bulaya alizindua michuano hiyo kwa wanahabari jana katika hafla...

EXTRA BONGO WAFANYA MAKAMUZI MEEDA CLUB

Ali Choki (kulia) pamoja na wanenguaji wake wakilishambulia jukwaa la Meeda Club. Wanenguaji wa Extra Bongo wakizidi kuwapa raha mashabiki waliohudhuria shoo hiyo usiku wa kuamkia leo.… Ali Choki (kulia) pamoja na wanenguaji wake wakilishambulia jukwaa la Meeda Club. Wanenguaji wa Extra Bongo wakizidi kuwapa raha mashabiki waliohudhuria shoo hiyo usiku wa kuamkia leo. Ali Choki (kulia) akiwa katika pozi na Benny Kinyaiya. Burudani zikiwa...

PICHA ZA MABAKI YA NDEGE ILIYODONDOKA JANA JIJINI ARUSHA

Eneo ambalo ndege iliyoanguka, kutoka eneo hilo mpaka landing truck ni kama 1km. Mbele ya mabaki hayo ya ndege kuna mti mmoja ambao unasadikiwa kuwa  ndege hiyo ilijigonga na kudondoka chini. ...