Katibu
Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa akiongea wakati wa Kongamano la
uzinduzi wa Kanda ya Pwani lililofanyika jana jijini Dar es Salaam
katika Hotel ya Blue Pearl- Ubungo Plaza.
Wana Chadema wakifuatilia kwa makini kongamano…
Makamu Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani (Chadema), Mabere Nyaucho Marando (kulia) akifuatilia kongamano hilo.
0 comments:
Post a Comment