This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Tuesday, February 11, 2014

ujenzi wa jengo linalochungulia Ikulu

IGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard Maliyaga walioruhusu ujenzi wa jengo linalochungulia Ikulu wamehukumiwa kwenda jela miaka 9 kila mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni 15 kila mmoja na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar! Maofisa hao wa serikali kwa sasa wapo mahabusu kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo ndugu na jamaa wanaangaika kutafuta fedha za kuwalipia dhamana. Vigogo ...

CHADEMA ni Mzigo kwa Taifa….NAPE

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru Watanzania kwa kukiamini na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika katika kata 27, ambapo CCM imeshinda kata 23. Kimesema siri ya kuimwaga CHADEMA ni uadilifu katika kuwatumikia wananchi na kwamba, kushindwa kwa chama hicho ni ushahidi kwamba hakikubaliki na Watanzania wamewathibitishia kwamba hawajazoea vurugu. Katibu...

MTUHUMIWA WA MAUWAJI YA WATU 9 TARIME AFARIKI DUNIA

Mtuhumiwa wa mauaji na unyang’anyi wilayani Tarime mkoani Mara, aliyekuwa akitumia majina matatu ya Charles  Range Kichune, Josephat Chacha, Charles Joseph Msongo (38) aliyekuwa akihojiwa na Polisi, amefariki katika Hospitali ya wilaya wakati akipatiwa matibabu. Kamanda wa Polisi Kanda ya Tarime/ Rorya Justus Kamugisha, alisema mtuhumiwa huyo alifariki usiku wa kuamkia jana wakati akitibiwa ugonjwa wa pumu na kwamba baada...