This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Saturday, July 6, 2013

TEMEKE YALIZWA NYUMBANI MABAO 5-2 MICHUANO YA AIRTEL RISING STARS

Timu za Airtel Rising Stars zikiingia kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam tayari kwa ufunguzi rasmi wa ARS ngazi ya Taifa jana Jumanne Julai 2, 2013.. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano – Mallya akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Airtel Rising Stars ngazi ya Taifa uliofanyika kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini  Dar es Salaam jana Jumanne Mgeni ...

ISRAEL YATISHIA KUJENGA HEKALU NDANI YA AQSWA

ISRAEL YATISHIA KUJENGA HEKALU NDANI YA AQSWA Waziri wa Nyumba wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kuwa, watajenga hekalu kwa ajili ya Mayahudi ndani ya ua wa msikiti Mtukufu wa al Aqswa. Uri Ariel ambaye ni mwanachama wa chama chenye misimamo mikali cha 'Jewish Home' amesema kwamba, Baraza la Mawaziri la Israel limesimamisha ujenzi wa...

KENYA YAISUSIA SHEREHE YA UHURU WA MAREKANI

KENYA YAISUSIA SHEREHE YA UHURU WA MAREKANI   Katika kile kinachoonekana ni kuendelea kuzorota uhusiano wa Nairobi na Washington, maafisa wa ngazi za juu wa serikali ya Kenya wamesusia sherehe za uhuru wa Marekani zilizofanyika jana usiku katika ubalozi wa Marekani mjini Nairobi. Katika hafla hiyo ambayo maafisa wote wa ngazi za juu serikalini walialikwa, rais na naibu wake hawakuhudhuria, aidha...

WAZIRI MAGUFULI ATAMANI KUWA RAIS WA TANZANIA......ANADAI KWAMBA YUPO TAYARI KUGOMBEA MWAKA 2015 ENDAPO ATAKIDHI MASHARTI

 Katika hali inayoonyesha kuwa Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, anautamani urais, amesema anaweza kutangaza nia hiyo kama atakidhi masharti yatakayowekwa kwenye Katiba mpya. Alisema iwapo Katiba ijayo itakuja na sifa ambazo atakidhi vigezo kuna uwezekano mkubwa wa kuwania nafasi hiyo na kwamba iwapo atapungukiwa sifa zinazohitajika kwa mujibu wa Katiba hataingia kwenye kinyang’anyiro hicho. Dk. Magufuli ambaye pia ni Mbunge...

NELSON MANDELA YUKO KATIKA HALI YA "USINGIZI WA KUDUMU"....NYARAKA ZAFICHUKA

Nelson Mandela ameendelea kuwekwa hai kwa msaada wa mashine za kumsaidia kupumua na  'anakaribia kifo,' nyaraka za mahakama zimefichua. Afya ya rais huyo wa zamani ni 'yenye hatari kubwa,' kwa mujibu wa nyaraka zilizowasilishwa mahakamani kwenye kesi ambayo imepelekea mabaki ya miili ya watoto wake watatu kuzikwa upya Alhamisi kwenye makaburi yao ya awali.   Nyaraka za mahakama za Juni 26 zilisema: "Matarajio hayo ya kukaribia...

PICHA ZA LAANA ZA KUNDI LA BAIKOKO - TANGA

Hizi  ni  baadhi  ya  picha  za  kundi  la  wacheza  uchi / nusu  uchi  maarufu  kwa  jina  la  Baikoko  lenye  maskani  yake Tanga....         ...

WAZAZI WAUA MTOTO WAKIGOMBANIA CD YA MSANII "DIAMOND"

Vilio  na  simanzi  vilitanda Jumatano iliyopita Mwananyamala Kisiwani, jijini Dar kufuatia mtoto wa mwaka mmoja, Rahim Rajab kufariki dunia kwa kuangukiwa na watu watatu, akiwemo baba yake mzazi, Rajab Said.. Tukio la watu hao kumwangukia mtoto huyo lilitokea Jumatatu iliyopita na lilisababishwa na ugomvi mkubwa wa CD yenye nyimbo za mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ulioibuka ndani ya chumba...

LOWASSA AVIONYA VYOMBO VYA DOLA...!

WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amevitaka vyombo vya dola na wafanyabiashara wakubwa nchini, kujenga mahusiano bora kati yao na wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) ili kuondoa tabaka la matajiri na masikini linaloweza kuathiri uchumi wa taifa. Lowassa aliyasema hayo jana wakati akizungumza na machinga wa eneo la Makoroboi jijini Mwanza, ambao pamoja na mambo mengine aliwachangia sh milioni 20 kwa ajili ya kutunisha mfuko...