This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Sunday, March 3, 2013

KITENDO CHA IRENE UWOYA KUYAANIKA " MAKALIO YAKE" NI SAWA NA KUWATUSI MASHABIKI WAKE

Huu  ni  upotofu  mkubwa  wa  maadili  unaoendekezwa  na  hawa  wanaojiita  MASTAA.....Kumbukumbu  zangu  zinaniambia  kuwa  Uwoya  ni  mzazi  wa  mtoto  mmoja  ambaye  walizaa  na Ndikumana  na hatimaya  wakaachana  baada  ya  kushindana  kitabia...    Swali  la  kujiuliza  ni ...

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

UMEZISOMA HIZ...

HII NDO TUME YA WATU 15 ILIYOUNDWA KUCHUNGUZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana Jumamosi, Machi 2, 2013 amezindua Tume maalum aliyoiunda ili ifanye uchunguzi wa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyotangazwa Februari 18, mwaka huu na kuwataka wajumbe wa Tume hiyo watafute kiini cha mserereko wa kushuka kwa ufaulu kuanzia mwaka 2010 hadi 2012.   Waziri Mkuu amezungumza na wajumbe wa Tume hiyo kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Magogoni, jijini Dar es Salaam....
ZAIDI YA ABIRIA 50 WA BSI LA SUMRY LITOKALO SUMBAWANGA KUJA MBEYA LIMEPATA AJALI MAENEO YA SONGWE MPAKANI MWA WILAYA YA MBOZI CHANZO CHA AJALI HIYO NI KUWA ROLI LA MIZIGO LA KAMPUNI YA KANJILAJI LILIKUWA LINAIPITA GARI NYINGINE HIVYO KUHAMIA UPANDE WA BASI LA SUMRY NA NDIPO DEREVA WA SUMRY AKAONA KUA WATAGONGANA USO KWA USO AKAAMUA KULIINGIZA SHAMBANI ILI KUJIOKOA KATIKA AJAL badhi ya majeruhi wakikibizwa hospital...