This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Monday, April 22, 2013

RAIS TENGA ATOA MIPIRA YA DOLA 30,000

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga ametoa mipira zaidi ya 1,200 yenye thamani ya dola 30,000 za Marekani kwa vyama vya mpira wa miguu vya mikoa ya Tanzania Bara na vituo 21 vilivyo hai vya kuendeleza vijana (academies). Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) lilimpa Rais Tenga fedha hizo ikiwa ni shukrani kwake kwa kushughulikia mgogoro wa uongozi wa mpira wa miguu nchini Kenya uliodumu...

MESSI AENDELEA KUONGOZA MSIMAMO WA WAFUMANIA NYAVU BARANI ULAYA,

Hakuna mabadiliko kwenye msimamo wa wafumania nyavu wanaowania kiatu cha dhahabu huku Lionel Messi akiendelea kuuguza jeraha lake,mpinzani wake wa karibu Cristiano Ronaldo akimaliza bila kufunga huku timu yake  Real Madrid ikipata ushindi wa mabao  3-1 dhidi ya Real Betis. Kwingineko barani ulaya juma hili,nchini Ujerumani mshambuliaji wa  Bayer 04 Leverkusen Stefan Kiessling alifunga hat-trick dhidi ya Hoffenheim, mabao...

ROBIN VAN PERSIE AIONGOZA MAN UTD KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA ENGLAND.

...

Taswira:Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa Akabidhiwa Tuzo Ya Heshima Mkoani iringa

 Askofu  wa  kituo  cha maombezi  na uponaji cha  Overcomers Power Center (OPC) Dkt  Boaz Sollo (kushoto) akimakabidhi tuzo ya  heshima mfano  wa ramani ya  Tanzania  waziri mkuu  wa zamani Edward  Lowassa  jana katika hafla ya  kuchangia ujenzi  wa kanisa na kuendeleza kituo cha radio Overcomers Fm...

BUNGE FILAMU PRODUCTION IKO MBIONI KUZINDUA FILAMU YA " WAZIRI BOYA"

BAADA ya Bendi ya Bunge Modern Taarabu kufanya uzinduzi wao wa albamu yao ya nyimbo tano iliyokuwa na jina la 'FU*K YOU'! jijini Dodoma, taasisi nyingine ya sanaa Bungeni ya Bunge Filamu Production nayo iko mbioni kuzindua filamu yao mpya ya 'Waziri boya'. Filamu hiyo iliyosheheni wasanii na watunzi mbalimbali na mahiri katika ya uigizaji inaongozwa na msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva) Joseph Mbilinyi maarufu kwa...

BI KIDUDE UMEKWENDA, UMEACHA MAJANGA YA WASANII WA KIKE BONGO!

Stori:Sifael PaulKishindo cha kuondoka kwako kwenye uso wa dunia tunayoishi kinaweza kuwa kikubwa ama kidogo au hakuna kabisa kutokana na mazingira au heshima uliyojijengea katika jamii. Fatma Binti Baraka maarufu kwa jina la Bi Kidude aliaga dunia wiki iliyopita akiwa na zaidi ya miaka 100. Bado jina lake linatamkwa kwenye vinywa vya wengi na linaweza kuendelea kutamkwa kwa miaka mingi zaidi. Bi Kidude, mwanamke shujaa mzaliwa wa Visiwani…Stori:Sifael...

GODBLESS LEMA AIBUKA KIDEDEA...RUFAA YA KESI YAKE IMETUPILIWA MBALI

Rufaa ya kesi ya Mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya Chadema, Godbless Lema imetupiliwa mbali na mahakama kumtangaza mbunge huyo kuwa ni halali. Rufaa hiyo ilisikilizwa na majaji watatu wa Mahakama Rufaa Tanzania ambao ni Engili Kileo, Salum Massati na Benard Luanda kwa pamoja wametupilia madai ya rufaa hiyo. Mahakama hiyo  imewaamuru tena wakata rufaa walipe gharama zote za kesi....

KIMENUKA!

Kwa tukio hili, vijana wa mjini wanasema; kimenuka! Hivi karibuni wanawake watano ambao majina yao hayakuweza kufahamika mara moja walinaswa usiku mnene wakifanya mapenzi na wanaume wawili kwenye chumba kimoja kilichopo Mwananyamala jijini Dar. Watu hao walinaswa kati...

UPELELEZI WA KESI YA VITENDO VYA KIGAIDI VYA LWAKATARE WAKAMILIKA

Jeshi la Polisi nchini limekamilisha upepelezi kuhusu kesi inayomkabili Wilfred Lwakatare na mwenzake Ludovick Joseph kuhusu tuhuma za vitendo vya ugaidi vinvyzomkabili. Jalada la kesi hiyo linaandaliwa kupelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini, DDP kwa hatua zaidi. Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Isaya Mghulu akizungumza na wanahabari leo hii, amesema upelelezi huo umezingatia matukio mbalimbali ya uhalifu yaliyofanyika...