Monday, April 22, 2013
Home »
» UPELELEZI WA KESI YA VITENDO VYA KIGAIDI VYA LWAKATARE WAKAMILIKA
UPELELEZI WA KESI YA VITENDO VYA KIGAIDI VYA LWAKATARE WAKAMILIKA
Jeshi la Polisi nchini limekamilisha upepelezi kuhusu kesi inayomkabili Wilfred Lwakatare na mwenzake Ludovick Joseph kuhusu tuhuma za vitendo vya ugaidi vinvyzomkabili. Jalada la kesi hiyo linaandaliwa kupelekwa kwa Mkurugenzi wa Mashitaka nchini, DDP kwa hatua zaidi.
Kaimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Isaya Mghulu akizungumza na wanahabari leo hii, amesema upelelezi huo umezingatia matukio mbalimbali ya uhalifu yaliyofanyika hapa nchini.
Kuhusu kumwagiwa tindikali kada wa CCM bwana Musa Tesha, katika kampeni za uchaguzi mdogo wa Iguga mwezi Septemba wa mwaka 2011, tayari watuhumiwa wawili wamekwisha kufikishwa mahakamani na upelelezi upo katika hatua za mwisho. Endapo watabainika watuhumiwa wengine, nao watafikishwa mahakamani kwa muda muafaka.
Related Posts:
USIKU WA HIP HOP & THE VODACOM MIC KING KURINDIMA DAR LIVE BAADAYE Joh Makini. Fid Q.… . Kala Jeremiah. Stamina. Nay wa Mitego. Wasanii wanaotamba kwenye gemu la Hip Hop, Fid Q, Nay wa Mitego, Joh Makini, Kala Jeremiah na Stamina wataongoza safu ya burudani leo ndani ya Ukumbi wa… Read More
RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA AU JIJINI ADDIS ABABA LEO Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kulia, mbele) akiwa katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya AU katika makao makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei … Read More
CHANZO CHA KIFO CHA MSANII ALBERT MANGWEA Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa. Hussein Original ambaye yupo Pretoria amesema Ngwear na M to the P ambaye walikuwa room moja walitakiwa kurudi Tanzania leo wak… Read More
WANAFUNZI WAPIGA KURA ZA SIRI ILI KUWAFICHUA WALIMU WANAOFANYA MAPENZI NA WANAFUNZI KATIKA hali isiyo ya kawaida, wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyasubi, iliyopo Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga, wamepiga kura za siri ili kuwafichua walimu wenye tabia ya kufanya mapenzi na wanafunzi wao sh… Read More
AYERN MUNICH BINGWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2013 Wachezaji wa Buyern Munich wakishangilia na kombe lao. Wachezaji wa Buyern Munich wakishangilia bao lao la pili na la ushindi lililofungwa na Arjen Roben dak… Read More
0 comments:
Post a Comment