This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Tuesday, September 24, 2013

TIMU YA NETIBOLI YA UTUMISHI YAICHARAZA UJENZI MABAO 48-5

Timu ya Netiboli ya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma kabla ya kukaguliwa kwa ajili ya mechi kati yake na timu ya netiboli ya Wizara ya Ujenzi katika viwanja vya Chuo Kikuu Dodoma leo. Timu ya Netiboli ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma kabla ya kuanza mechi kati yake na Wizara ya Ujenzi katika Viwanja vya Chuo Kikuu Dodomaleo. Timu ya Netiboli ya Wizara ya Ujenzi kabla ya kukaguliwa kwa ajili ya mechi kati...

TANZANIA MABINGWA WASICHANA MASHINDANO YA KIMATAIFA AIRTEL RISING STARS

Mkurugenzi mkuu wa Airtel Nigeria Segun Ognsanya Katikati akiwakabithi captain wa timu ya wasichana Tanzania na kocha wa timu ya wasichana Rogacian Kaijage zawadi za ushindi mara baada ya kuibuka mabigwa wa michuano ya Airtel Rising stars ya Afrika Wachezaji wa timu ya wasichana ya Tanzania ya Airtel Rising stars wakishangilia ushindi Mwakilishi na kiongozi wa Airtel Tanzania bi Lilian Kibiriti akifurahia ushindi na Wachezaji wa timu...

ILIVYOKUWA SEMINA YA KAMATA FURSA TWENZETU MKOANI SHINYANGA JUMAPILI.

   Mbuge wa Jimbo la Shinyanga mjini na Naibu Wa Nishati na Madini,Mh Steven Masele akizungumza na sehemu ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga waliofika kwenye semina ya Kamata ya Fursa Twendzetu kwa vijana,iliofanyika leo kwenye ukumbi wa Shinyanga Vijana Center.Mh Steven amewataka vijana wa Shinyanga kuwa na moyo wa kujituma na kuzifanyia kazi ipasavyo fursa wanazokumbana nazo bila kukata tamaa,ameeleza kuwa hivu karibuni mkoa huo,unatarajia...

MKUU WA MKOA WA MWANZA AWASHANGAA WANAOPINGA PENDEKEZO LA UWANJA WA NDEGE WA MWANZA KUITWA SERENGETI

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Evarist Ndikilo akizungumza na waandishi wa habari kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utalii Jijini Mwanza ambapo yanaanza rasmi leo kwa ufunguzi na kumalizika tarehe 27/09/2013 uwanja wa Nyamagana. ...