This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Saturday, May 25, 2013

RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA AU JIJINI ADDIS ABABA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kulia, mbele) akiwa katika Mkutano wa Sherehe za miaka 50 ya AU katika makao makuu ya umoja huo jijini Addis Ababa leo Mei 25, 2013. ...

AYERN MUNICH BINGWA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2013

Wachezaji wa Buyern Munich wakishangilia na kombe lao. Wachezaji wa Buyern Munich wakishangilia bao lao la pili na la ushindi lililofungwa na Arjen Roben dakika ya 89 ya mchezo. Mario Mandzukic (9) wa Buyern Munich akiifungia timu yake bao la kuongoza dakika ya… Wachezaji wa Buyern Munich wakishangilia na kombe lao. Wachezaji wa Buyern Munich wakishangilia bao lao la pili...

USIKU WA HIP HOP & THE VODACOM MIC KING KURINDIMA DAR LIVE BAADAYE

Joh Makini. Fid Q.… . Kala Jeremiah. Stamina. Nay wa Mitego. Wasanii wanaotamba kwenye gemu la Hip Hop, Fid Q, Nay wa Mitego, Joh Makini, Kala Jeremiah na Stamina wataongoza safu ya burudani leo ndani ya Ukumbi wa Dar live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar katika Usiku wa Hip Hop (2013) na Fainali za Shindano la The Vodacom Mic King. Usikos...

ABIRIA WAJIPATIA BURUDANI WAKATI WAKISUBIRI PANTONI

Hapa anaonesha ufundi wake kwa kuweka mguu mgongoni Hapa analamba mguu Anajikuna pua kwa kutumia mguu Msanii mmoja… Hapa anaonesha ufundi wake kwa kuweka mguu mgongoni Hapa analamba mguu Anajikuna pua kwa kutumia mguu Msanii mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, asubuhi ya leo ameonekana kwenye stendi ya kivuko (Ferry) akitoa shoo mbalimbali za mazingaombwe na mazoezi ya viungo wakati wakazi...

MWANAMKE MCHAWI ADONDOKA KANISANI AKIWA UCHI WA MNYAMA JIJINI DAR

Wakati Mtwara kukilipuka kwa vurugu za gesi na kusababisha maafa, jijini Dar kumeibuka taharuki ya aina yake baada ya mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Anna kudaiwa kuwa ni mchawi na kudondokea kanisani. Tukio hilo lililochukua saa kadhaa lilitokea katika Kanisa la Yesu Kristo la Huduma ya Maombezi na Uponyaji linaloongozwa na Nabii Flora Peter lililopo Mbezi Beach Salasala, Dar hivi karibuni.  Taarifa kutoka kwa mashuhuda...

BOMU LALIPUKA NA KUWAJERUHI WANAFUNZI 7 WA NABOTI SEKONDARI HUKO IRINGA

 Baadhi ya Maeneo walimo jeruhiwa wanafunzi hao na Mmoja kupatwa na Mshtuko wa Mlipuko wa Mabaki ya Mabomu hayo kutokana na Tatizo lake la Moyo alilonalo na hivyo kupelekea wanafunzi Watano kulazwa Ilembula Hospitali.  Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba akiwajulia Hali wanafunzi hao katika Hospitali ya Lutherani ya Ilembula.  Mwanafunzi Evance Joseph[16]kidato cha Kwanza ambaye alikuwa akifanya Majaribio...