This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Saturday, December 7, 2013

UPEPO MKALI WAEZUA PAA LA SHULE YA MSINGI LUGANGA

Wanafunzi wa shule ya msingi Luganga kata ya Ilolompya Tarafa ya Pawaga Mkoa wa Iringa, wakiangalia sehemu ya paa la chumba cha darasa lililo ezuliwa na upepo mkali hivi karibuni. Nyumba ya Mwalimu Wanafunzi wa Shule ya Msingi Luganga wakicheza nje ya Darasa lililo ezuliwa Wanafunzi Shule ya msingi Luganga wakiendelea na Masomo ndani ya Darasa lililo ezuliwa na Upepo mkali...
 Raia wa Afrika Kusini wako kwenye maombolezo kwa siku ya pili hii leo wakiwa kwenye mkesha kwa usiku nzima kwa ajili ya kuomboleza mpendwa wao Kiongozi wa zamani wa taifa hilo Nelson Mandela, aliyeaga dunia siku ya Alhamisi akiwa na umri wa miaka 95. Watu wamekuwa wakikumbuka mema yake , wakicheza na kuimba Mbele ya makazi yake ya zamani mjini Soweto. Taarifa zinazohusiana Katika mkutano...

KINANA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI PORINI, AOMBOLEZA KIFO CHA NELSON MANDELA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kusimama njiani akitokea wilayani Makete akielekea wilayani Wanging"ombe, katika ziara yake maalum ya Mkoa wa Njombe kuhusu Chama cha Mapinduzi kilivyopokea kifo cha mpigania uhuru wa Afrika Kusini na mtu aliyeheshimiwa sana duniani Mzee Nelson Mandela kama alivyojulikana kama "Madiba" aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo ijumaa...

AIRTEL BINGWA KUFUNGUKIA MBAGALA ZAKHIEM LEO

Young killer Haya sasa mabingwa wote wa Airtel bingwa  kula bata pamoja wikiendi hii Mbagala. Kama wewe ni bingwa wa kusakata kabumbu na kuonyesha umahili wa kumiliki mpira njoo leo tuonyeshe jumamosi hii MBAGALA ZAKHIEM kuanzia saa sita mchana mpaka saa 12 na nusu zawadi kibao kutolewa jezi, tisheti.Wasanii watakaopanda stajini ni Ney wa Mitego, Young killer  na Vinoko shackers ,Pia wadada… Huku tukishuhudia draw ya Mimi Bingwa...