This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Monday, April 8, 2013

some clip kajala parts

...

SHEREHE YA KUMKARIBISHA KAJALA URAIANI NI LAANA TUPU....WADAU WAHOJI, ANASHEREHEKEA NINI WAKATI MUMEWE ANANYEA NDOO GEREZANI??

"Wanaume tumeumbwa mateso, bonge la party huku mumewe  anafia gerezani...."  Hivi  ndivyo  alivyofunguka  mdau  akielezea  hisia  zake  kuhusu  party  hii  ya  kufuru  iliyofanywa  na  Kajala  Msanja  wakati  mumewe  akiozea  gerezani. Pamoja na mateso yote waliyoyapa  kajala   na  mumewe wakati  wakisaka  ...

MWANAMKE AVULIWA NGUO ZOTE BAADA YA KUINGIA STENDI YA MABASI AKIWA NA SKETI FUPI NYEPESI

   Biahara  zote  zilisimama  kwa  muda  katika  stendi  kuu ya mabasi  ya  Bomet  nchini  kenya wikiendi  hii  baada  ya  kundi  kubwa  la  wanaume  kumvamia  mwanamke  mmoja  aliyekuwa  amevaa  kingua  kifupi  na  kisha  kumvua  huku  wengine  wakimchezea  nyeti  zake..... Mwanamke  ...

RAIS KIKWETE AWASILI NAIROBI KENYA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS UHURU KENYATTA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa heshima zote baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua mara...

ASANTE FAMILIA YA MAREHEMU KANUMBA KWA HII TUZO.

Jana April 7 2013 bila kufahamu kitakachotokea nilikwenda viwanja vya Leaders kwa ajili ya kupiga picha na kuchukua habari kwa ajili ya AMPLIFAYA ya Clouds FM na millardayo.com ambapo nilipokua kwenye stage na Camera yangu nikichukua matukio wakati familia ya Marehemu Kanumba ikitoa tuzo mbalimbali kwenye kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha Kanumba, ghafla nikiwa sijategemea… nikawa mtangazaji pekee na mwandishi wa website nilieitwa na...

CHID BENZ AZINGUANA NA PRODUCER LUCCI BAADA YA KUTAKA KUREKONDI WIMBO BURE

Rapper Chidi Benz na producer Lucci wameingia kwenye mgogoro baada ya kutofautiana katika makubaliano ya wimbo walioufanya pamoja. Chidi anamlaumu Lucci kwa kubadilisha msimamo wake ambapo alidai kumfanyia wimbo huo bure. Chidi Benz na Lucci wametumia Twitter kulizungumzia suala hilo kama ifuatavyo:  Chidi Benz: Unachofanya c sawa.usipindishe maneno na usifoc makubaliano.siku tunarekod hukusema khs mkwanja,ulisema tufanyeni...

PICHA: LULU MICHAEL, MAMA YAKE NA MAMA KANUMBA WATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU KANUMBA

 Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu, ambaye ana kesi ya kuhusika na kifo cha msanii huyo, yuko nje kwa dhamana. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo ...