This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, April 12, 2013

MAKALI YA NAULI KUANZA KUFANYAKAZI

Hizi nauli zilivyopanda kwa mamlaka ya wenyemaamuzi hivi hawa Nduguzangu wa ishio mwambao wa ziwa Nyasa itakuwaje?Waungwana naomba mawazoyenu pamojanakuwa halihiyo inatukumba sote lakini kwa hali yakimaisha tunatofautiana kwa tulio mijini na vijijini. Tena tunavyo tafuta kipato kwakutumia fursa tulizonazo katika maeneo tofauti naimani wenzetu waishioMwambao wa Ziwa...

MAMA SHARO AANZA KUKOMALIA HAKI ZA MWANAYE

Na Gladness Mallya MAMA mzazi wa aliyekuwa msanii wa muziki na filamu Bongo, marehemu Hussein Ramadhan Mkieti ‘Sharo Milionea’, Bi. Zainabu Mkieti amefunguka kuwa kwa sasa anaanza kufuatilia haki za mwanaye kwenye kampuni alizokuwa anafanya nazo kazi kwani tayari ameshafungua mirathi. Marehemu Hussein Ramadhan Mkieti 'Sharo Milionea'. Akichezesha taya na paparazi wetu kwa njia ya simu akiwa jijini Tanga, Mama Sharo alisema tayari ameshafungua...

REEBOK WAMTOSA RICK ROSS KUTOKANA NA MASHAIRI YAKE YANAYOSIFIA UBAKAJI

Baada ya wiki kadhaa za ukosoaji na maandamano, kampuni ya Reebok imesitisha kufanya kazi na Rick Ross kutokana na mashairi yake yenye kashfa ya kusifia vitendo vya ubakaji. Wimbo wa Rick Ross unaodaiwa kuwa na mashairi ya kupromote ubakaji unaitwa “U.O.E.N.O.” Katika maelezo iliyoutumia mtandao wa TMZ, Reebok imesema: “Reebok holds our partners to a high standard, and we expect them to live up to the values of our brand. Unfortunately,...

AIBU: MKE WA MTU ANASWA LIVE AKIFANYA MAPENZI NDANI YA GARI MAENEO YA MWENGE-DAR

KUFUATIA vitendo vya usaliti wa ndoa, uasherati, ufuska na ukiukwaji wa maadili ya Kitanzania kwa wanandoa, wiki iliyopita Ijumaa iliendelea na Operesheni Fichua Maovu kwa kuzunguka jijini Dar usiku wa manane na kunasa tukio la mke wa mtu akifanya uzinzi ndani ya gari. Kabla ya kufanya operesheni hiyo, waandishi  walitaarifiwa kwamba Wilaya ya Kinondoni jijini Dar ndiyo inayoongoza kwa wake na waume  za watu kufanya vitendo...

UNYAMA: BINTI ANYONGWA KWA KUTUMIA SURUALI YAKE

Tukio hili la kikatili limetokea huko Brazil (Cuiaba public square). Inasemekana kuwa binti huyo mwenye miaka 22 aliuawa na watu kisha wakamning'iniza kwa kutumia suruali yake aina ya jeans ili ionekane kama alijinyonga. Wazazi wa binti huyo wanamshuku 'x-boyfriend' wake kuwa muhusika wa tukio hilo kwani hawakua na maelewano baina yao siku kadhaa kabla ya tukio. ...

KAMPUNI YA NDEGE YA FLIGHTLINK YAFANYA KWELI MAONYESHO YA UTALII YA COTMM 2013 JIJINI BEIJING‏

Mkurugenzi wa Kampuni ya ndege ya Flightlink Capt. Munawer Dhirani akiwa katika picha ya pamoja na na mmoja wa washiriki wa maonyesho hayo kutoka nchini humo. Mkurugenzi wa Kampuni ya ndege ya Flightlink Capt. Munawer Dhirani akizungumza na wageni mbalimbali waliomtembelea meza yake kwenye banda la Tanzania katika… Mkurugenzi wa Kampuni ya ndege ya Flightlink Capt. Munawer...