This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Tuesday, April 16, 2013

SPIKA WA BUNGE AWAVAA WABUNGE "WANAOTUMIA MATUSI" BUNGENI

Akiongea kwa uchungu , Spika wa Bunge bi Anne Makinda amewashambulia wabunge  leo asubuhi na kuwaambia suti zao walizovaa haziendani na matusi  yanatoka  katika vinywa vyao  ambayo yeye ameshindwa kuyataja kutokana kwa  madai  kuwa mdomo  wake hauwezi kutamka matusi hayo..... Makinda amesema matusi ndiyo yamekuwa yakitawala katika midomo ya wawakilishi hao na kuacha hoja inayojadiliwa hewani....  ...

"NIMEMSAMEHE DIAMOND INGAWA ALINISALITI KWA UWOYA....KWA SASA TUMEYAMALIZA".....HII NI KAULI YA PENNY

Katika muda ambao kila mmoja alikuwa amejaribu kuamini kuwa Diamond Platnumz ameamua kutulia na mpenzi mmoja, mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa, hivi karibuni  staa huyo ameanzisha uhusiano wa kimapenzi na muigizaji wa filamu Irene Uwoya.....   Magazeti ya udaku nchini yaliandika habari hiyo ikiwa na picha inazowaoenesha mastaa hao wakichukua chumba kwenye hoteli ambako  walienda kufanya yao. Kufuatia tetesi hizo,...

BOB JUNIOR AINGIZWA MKENGE....LAWAMA ZATUPWA TIGO

Imebainika kuwa kuna mtu aliyetengeneza line mpya kwa kutumia namba ya Bob Junior aliye barani Ulaya kwa sasa na kutaka kuwatapeli watu wake wa karibu kuwa yupo hoi na anahitaji msaada haraka. Taarifa hiyo imetolewa na baba yake mdogo, Guru Ramadhan ambaye ni mmiliki wa G Records. Kupitia Facebook, Guru aka G Lover ameandika: “Hii sijaipenda kabisa ni too much sasa..eti mtu yupo Europe na simu yake inaita bongo ukipiga duh kumbe...

CHEKA NA KATUNI ZA GPL

...

VIGOGO WIZARA YA ARDHI KORTINI KWA UBADHIRIFU

Watuhumiwa  hao wakiwa  mahakamani.  Simoni Lazaro (kushoto) akiwa na mtuhumiwa mwenzake, Gerald Mango. MAOFISA watatu waandamizi kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi  leo wameburuzwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za ufujaji wa pesa za serikali zaidi ya milioni 200.… Watuhumiwa  hao wakiwa  mahakamani.  Simoni Lazaro (kushoto) akiwa na mtuhumiwa...

SIMU NUSURA IWATOE ROHO

Wakikunjana huku Kila mmoja akidai simu ni yake Hapa wakivutana kuelekea kule walikoiba simu Vijana wawili walikutwa wakibishana baada ya kushutumiana kuzulumiana simu ambayo waliiba kwa mmpita njia mmoja maeneo ya Bamaga jijini Dar Es Salaa...

MHESHIMIWA AUMBUKA!

Bumbuwazi: Meneja Everson Makowa-Mwale (49), akiwa ameduwaa baada ya kunaswa akijivinjari na mke wa mfanyakazi wake. NI aibu kubwa kuliko maelezo! Meneja wa kampuni ya kusafirisha mizigo ya Malawi Cargo, tawi la mkoani hapa, Everson Makowa-Mwale (49), raia wa nchi jirani ya Malawi amenaswa chumbani na mke wa mfanyakazi wake (jina tunalo). Tukio hilo lililojaa fedheha lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita, majira ya saa 11:25 jioni baada ya askari...

Airtel na Nokia wazindua Offer Kabambe ya Nokia Lumia 620

Meneja Biashara wa Nokia Nchini Tanzania Samson Majwala( kushoto) akimkabidhi simu ya Nokia Lumia 620 BatuliChombo mwandishi wa habari wa Sikuba kwenye bahati nasibu wakati wa uzinduzi wa  Simu hiyo kwa ushirikiano katiya Airtel na Nokia  utakaowawezesha wateja wa Airtel na watanzania kupata simu ya Nokia Lumia 620 yenye technologia ya kisasa na offa kabambe ya Muda wa Maongezi  wa dakika 275, sms bila kikomo na internet ya 3GB kwa...