This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, April 25, 2013

AIBU SANA!

KUSOMA ZAIDI HABARI HIZI BOFYA HAPA Stori: Issa Mnally NI aibu sana! Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Oparesheni ya Fichua Maovu iliyosimamiwa na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar, OCD Wilbroad Mutafungwa na Ofisa wa Oparesheni, Inspekta Jacob Swai kwa kushirikiana na Global Publishers iliyonasa wanawake wanaojishughulisha na mambo ya ngono usiku kucha. Katika oparesheni hiyo iliyofanyika usiku wa Jumapili iliyopita watu kibao...

MTU MMOJA ADAIWA KUFA MAJI COCO BEACH MCHANA HUU

Mwili wa marehemu ukiwa umefunikwa Khanga na wasamaria wema katika fukwe za Coco Beach....   Taarifa  zilizotufikia  hivi  punde  zinadai  kuwa  mtu  mmoja  (Pichani)  ambaye  bado  hajafahamika  mara  moja  amekutwa  amekufa  maji  Coco-Beach...... Tunaendelea  kufuatilia   undani  wa  habari hii...... Imetolewa  na Thimothy...

LOWASSA CHUPUCHUPU…

Stori: FRANCIS GODWIN, IRINGAKIJANA ambaye amekuwa ‘akiwaliza’  watu wakiwemo viongozi serikalini kwa kutumia jina la Waziri William Lukuvi aliyejulikana kwa jina moja la Jonathan amenaswa na polisi.  Mtuhumiwa akiwa chini ya ulinzi baada ya kutiwa mbaro na polisi Ishu hiyo ilitokea Jumapili iliyopita katika hafla ya Kanisa la Overcomers FM la Askofu Dk. Boaz Sollo kwenye...

ORODHA NZIMA YA WASANII WALIOTAJWA KUWANIA TUZO ZA "KILI MUSIC AWARDS" MWAKA 2013

  Majina ya wasanii watakaowania tuzo za Kili mwaka 2013 yametajwa leo.  WIMBO BORA WA MWAKA Dear God - Kala Jeremiah Leka dutigite - Kigoma all star Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe Me n U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee Pete- Ben pol MSANII BORA WA KIUME Ben Pol Diamond Linex Mzee Yusuf Ommy Dimpoz MSANII BORA WA KIKE Isha Mashauzi Khadija Kopa Lady Jaydee Mwasiti Recho MSANII BORA WA...