Kuna nchi ambazo sehemu ya kitega
uchumi kwao ni kwenye soka!! ukiachia miundombinu ya barabara na
majengo mazuri,zipo nchi ambazo huthamini zaidi mpira wa miguu na
zimejikuta zikiwekeza zaidi katika mchezo huo.
Moja ya sababu zinazofanya nchi za Ulaya
kufanya vizuri katika michezo ni pamoja na miundombinu mizuri
inayowawezesha kuwa na mazingira mazuri ya kufanya vizuri.
Leo nimekusogezea hivi viwanja 10 vilivyojengwa kwa gharama zaidi:-
1. Uwanja wa Metlife stadium upo katika mji wa East Rutherford, Marekani, una uwezo wa kuchukua mashabiki 80,000-uligharimu kiasi cha dola bilioni 1.6
2. Uwanja wa Yankees Stadium upo New York, ulijengwa mwaka 2009 na kugharimu kiasi cha dola bilioni 1.50
3. Uwanja wa Olympic Stadium upo Montreal, Canada, ulijengwa mwaka 2004 na kugharimu kiasi cha dola bilioni 1.47
8. Uwanja wa Stade Stadium de France, umetumia kiasi cha dola milioni 974 na una uwezo wa kubeba watu 80,000
0 comments:
Post a Comment