This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Friday, February 21, 2014

Kilichosemwa na Mh.Membe kuhusu Mgogoro wa Mpaka kati ya Tanzania na Malawi.

Tanzania bado ipo kwenye mgogoro na nchi ya Malawi juu ya mpaka halisi wa nchi,Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Benard Membe amesema hatma juu ya mgogoro huo inategemewa kutolewa mwezi march. Hukumu hiyo itaamuliwa baada ya jopo la Usuluhishi litakapokaa na kusikiliza pande zote mbili ambalo litaongozwa na Rais wa zamani wa Msumbiji Joachim Chisano Kupatikana kwa suluhu ya mgogoro wa mpaka huo kutawatoa hofu wananchi ...

Alichosema Mbwana Samatta kuhusu Mrisho Ngassa

Home » General News » Alichosema Mbwana Samatta kuhusu Mrisho Ngassa Alichosema Mbwana Samatta kuhusu Mrisho Ngassa Posted by: TZA Sports February 20, 2014 General News, Michezo 44 views TP_MAZEMBE_SAMATA_280912Mshambuliaji wa kimataifa mtanzania anayekipiga TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mtanzania Mbwana Samatta, amesema Mrisho Ngassa wa Yanga amefanya kitu cha maana kwa kupiga ‘Hat-Trick’ mbili mfululizo kwenye Ligi ya Mabingwa...