This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Saturday, September 14, 2013

IRENE UWOYA "SHIGONGO ANANICHAFUA KWENYE MAGAZETI YAKE SABABU NINA KESI NAYE MAHAKAMANI"

Ukurasa wa mbele wa gazeti la Risasi la leo Jumamosi (Sept 14) umetawaliwa na habari inayomhusu msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya yenye kichwa cha habari “UWOYA MBARONI KWA WIZI WA SIMU!!”. “MSANII aliyewahi kutamba kisha kuporomoka kwa kasi katika tasnia ya filamu nchini Tanzania kwa sababu ya tabia zake chafu, Irene Uwoya, amefikishwa Kituo cha Polisi Msimbazi kwa wizi wa simu aina ya iPhone 5. MAMBO yanaendelea kumwendea kombo mwigizaji...

Maafisa Mawasiliano waaswa kuhabarisha na kuelimisha shughuli za Serikali;

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akiongea na Maafisa Mawasilino Serikalini (hawamo pichani) wakati akifungua mkutano wa tathmini wa awamu ya kwanza ya utaratibu wa Maafisa Mawasiliano kuzungumza na waandishi wa habari, ambapo aliwataka kutekeleza utaratibu huu kama ulivyopangwa ili kuweza kutoa taarifa mbalimbali za utekelezaji wa Sera na Miradi inayoratibiwa na Ofisi zao kwa wananchi...

Mume amsamehe mkewe aliyepanga kumuua

Mwanamke mmoja mfanyabiashara mjini Nairobi, Kenya, ambaye alikiri kosa la kupanga njama ya kumuua mumewe, ameachiliwa na mahakama Bi Faith Wairimu Maina, aliachiliwa huru baada ya mumewe kuitaka mahakama kufuta kesi yake kwani amemsamehe.(P.T) Bi Faith alikiri kuwa aliwakodi mamluki kumuangamiza mumewe. "Nataka kumsamehe kwa sababu ya watoto na familia yetu," mumewe Faith aliambia mahakama. Mwanamke huyo...

Rais Dk. Shein amtembelea Padri aliyemwagiwa Tindikali Mjini Unguja

   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Padri Joseph Monesmo Magamba wa Kanisa la Romani Katoliki Parokia ya Machui, alipofika katika Hospitali ya Mnazi Mmoja kumpa pole Mjini Unguja,baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana katika Mtaa wa Mlandege Mkoa wa Mjini Magharibi jana jioni, Padri alimwagiwa Tindikali alipokuwa akitoka kupata...

KWELI SANAA NI USANI

Recho kutoka THT akifanya vitu vyake stejini katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 mkoani Dodoma. Nikki wa Pili akimiliki jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 mkoani Dodoma usiku wa kuamkia leo.… Recho kutoka THT akifanya vitu vyake stejini katika Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 mkoani Dodoma. Nikki wa Pili akimiliki jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 mkoani Dodoma...