This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, April 4, 2013

"NALALIA PESA NA NACHAMBIA PESA"......HILI NI DONGO LA MANGE KIMAMBI AKIWA AMETAWANYA MIHELA KITANDANI

Mjasiriamali na blogger maarufu nchini, Mange Kimambi amegeuka Beyonce na kuwaambia wasichana wanaohate mafanikio yake ‘Bowdown bit**es I got lots of money.’   Kupitia blog yake yenye wasomaji wengi hasa wanawake, Mange ambaye kwa muda mrefu anaishi nje ya nchi na kurejea hivi karibuni akiuza aina ya nguo yaitwayo Bongolicious, amepost picha hizi na kuandika: Finally, nimemaliza mahesabu ya leo…..Ngoja niingie kulala sasa… Arusha...

MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI MUSHI AFUTIWA MASHITAKA...DPP -ZANZIBAR ADAI KUWA HANA KOSA

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Zanzibar, Ibrahim Mzee Ibrahim, ametupilia mbali uchunguzi wa mauaji ya Padri Evarist Mushi uliofanywa na Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Maafisa wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) na kusema mtuhumiwa hana kesi ya kujibu mahakamani. Padri Mushi ambaye alikuwa Paroko wa Kanisa Katoliki Minara Miwili aliuawa kwa kupigwa risasi Febuari 17, mwaka huu katika eneo la Beitrasi mjini hapa akiwa ndani...