This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Thursday, July 11, 2013

UGANDA CRANES YAWASILI KWA MPAMBANO WA JUMAMOSI

Mashabiki wa Uganda waliofika uwanjani kuipokea timu yao. Wachezaji wa The Cranes walipowasili. Kocha Sledojovik Micho na msaidizi wake, Sam Timbe, wakiwai na kikosi hicho.… Mashabiki wa Uganda waliofika uwanjani kuipokea timu yao. Wachezaji wa The Cranes walipowasili. Kocha Sledojovik Micho na msaidizi wake, Sam Timbe, wakiwai na kikosi hicho. Wakiingia kwenye basi waliloandaliwa. Mwenyekiti wa Waganda wanaoishi Tanzania, Hellen Tusiime, ...

SHUGHULI MBALIMBALI ZA RAIS KIKWETE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO JULY 11, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Mhe Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es Salaam. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Mhe Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe kutoka Serikali yake leo Ikulu,...

UGANDA CRANES YAWASILI KUIKABILI STARS

Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes'. Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) imewasili Dar es Salaam leo tayari kwa mechi ya kwanza ya mchujo kusaka tiketi ya Fainali za Afrika kwa Wachezaji wa Ligi ya Ndani (CHAN) kati yake na Tanzania (Taifa Stars) itakayochezwa Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.The Cranes inayofundishwa na Mserbia Sredojvic Micho imetua Uwanja...

MAMA MZAZI WA PROFESA JAY AGONGWA NA GARI NA KUFARIKI DUNIA....

Picha kushoto ni Profesa J akiwa na mama yake mzazi Bi Rosemary Majanjara Haule enzi za uhai wake...   Mama  mzazi  wa  Msanii Profesa Jay  amefariki dunia  usiku  wa  kuamkia  leo  baada  ya  kugongwa  na  gari  maeneo  ya  mbezi  juu  jijini  Dar  alikokuwa  anaishi  na  mwanae. Habari  zinadai  kwamba,...

RAIS KIKWETE AWASHANGAA CHADEMA KUTAKA KAMBI YA KUJILINDA...DR. SLAA NAYE AWATAKA POLISI WAYAVUNJE MAKAMBI YA CCM

Rais wa Tanzania amewashangaa na kuwalaani CHADEMA kwa kutangaza kufundisha vijana namna ya kujilinda na kusema kuwa ni watu wa ajabu kama wamefikia huko. Mh. Rais kayasema hayo katika kuhitimisha kongamano la amani  huku bwana Cheyo  nae akisema  kuwa  hata kama  ni kutaka kuwa rais wa nchi CHADEMA wamefika kubaya.... Wakati  mh. Rais  akiwashangaa CHADEMA,Katibu Mkuu wa chama  hiyo,  Dr Wilbroad...

PICHA YA MREMBO AKIWA KATIKA POZI LA NUSU UCHI YADAKWA

 Katika  hali  ya  kushangaza, mrembo huyu   anayejiita  Emmy  alijikuta   akitupia  picha  yake  ya  uchi ( kifua wazi ) katika  mtandao  wa Badoo.... Haijafahamika  mara  moja  kama  picha  hiyo  iliwekwa  makusudi  au  kimakosa  maana  iliondolewa  ndani  ya  dakika  chache  tangu iwekwe......  Profile ...

MWANAMKE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITANO JELA BAADA YA KUMTUPA MTOTO WAKE CHOONI

Mwanamke mmoja mkazi wa Manga A Jijini Mbeya amehukumiwa kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la kutupa mtoto wake chooni. Tukio hilo lilitokea Juni 14, Mwaka huu katika eneo hilo baada ya watoto waliokuwa wakicheza kugundua kuwepo kwa Mtoto katika choo cha shimo.   Mtuhumiwa baada ya kukamatwa amekiri kutenda kosa hilo na kwamba alifanya hivyo baada ya mzazi mwenzie kumkataa. Ameongeza kuwa amelazimika kutupa...