Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Mhe
Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe
kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Mhe
Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe
kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es Salaam.…
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Balozi wa Sweden nchini Mhe
Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe
kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Mhe
Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe
kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Sweden nchini Mhe
Lennarth Hjelmaker aliyeonana naye kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe
kutoka Serikali yake leo Ikulu, jijini Dar es Salaam. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hamisi Amir Msumi kuwa Mwenyekiti
wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es
Salaam. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Hilda A. Gondwe kuwa Mjumbewa
Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Celina Augustine M. Wambura
kuwa Mjumbe wa Baraza la Maadili la Viongozi wa Umma leo Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali
wakipiga picha ya pamoja na Mwenyekiti mpya wa Tume ya Maadili ya
Viongozi wa Serikali Mhe Hamisi Amiri Msumi pamoja na wajumbe wapya Mhe
Hilda A. Gondwe na Mhe Celine Augustine M. Wambura na viongozi wa Tume
hiyo leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment