This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Saturday, April 13, 2013

MLELA ADAIWA KUMTUNDIKA DENTI MIMBA

STAA wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela amedaiwa kumtundika mimba mwanafunzi aliyefahamika kwa jina moja la Salha, mkazi wa Zanzibar ambaye anasoma katika chuo cha ITF, Tandika, jijini Dar. Kwa mujibu wa chanzo makini kilichoomba hifadhi ya jina lake kilichopo chuoni hapo, Mlela alidaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na denti huyo kwa muda mrefu ambapo mashosti wote wa Salha, walikuwa wakimtambua kama shemeji yao hadi alipodaiwa kumpa kibendi....

MBWA AKUTWA NA MGUU WA BINTI WA DARASA LA 7

IMANI za kishirikina zimezidi kukitisa Kijiji cha Isange, Kata ya Isange, Wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya baada ya matukio ya kupotea na kuuawa kwa watoto kutokea mara kwa mara ambapo safari hii binti mmoja wa darasa la saba ameuawa na mguu wake kukutwa ukiliwa na mbwa. Binti huyo aliyeuawa amegundulika kuwa ni mwanafunzi wa darasa la saba  aliyejulikana kwa jina la Lista Sebule aliyekuwa akisoma katika Shule ya Msingi Mpombo iliyopo...

Shilingi bilioni 620 za Deni la Taifa hazina maelezo

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Shilingi bilioni 620 za Deni la Taifa hazina maelezo…   TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Shilingi bilioni 620 za Deni la Taifa hazina maelezo Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikaliametoa taarifa yake ya mwaka 2011/2012 na kuonyesha kuwa kuna skandali kubwasana katika akaunti ya Deni la Taifa. Nanukuu ‘Uhakiki wa mchanganuo wa madeni ya Taifa kama ulivyokuwa tarehe 30Juni, 2012 ulibaini kuwepo kwa marekebisho...