ZAIDI YA ABIRIA 50 WA BSI LA SUMRY LITOKALO
SUMBAWANGA KUJA MBEYA LIMEPATA AJALI MAENEO YA SONGWE MPAKANI MWA WILAYA
YA MBOZI CHANZO CHA AJALI HIYO NI KUWA ROLI LA MIZIGO LA KAMPUNI YA
KANJILAJI LILIKUWA LINAIPITA GARI NYINGINE HIVYO KUHAMIA UPANDE WA BASI
LA SUMRY NA NDIPO DEREVA WA SUMRY AKAONA KUA WATAGONGANA USO KWA USO
AKAAMUA KULIINGIZA SHAMBANI ILI KUJIOKOA KATIKA AJAL
badhi ya majeruhi wakikibizwa hospital
0 comments:
Post a Comment