Mwili wa marehemu ukiwa umefunikwa Khanga na wasamaria wema katika fukwe za Coco Beach....
Taarifa zilizotufikia hivi punde
zinadai kuwa mtu mmoja (Pichani) ambaye bado hajafahamika mara
moja amekutwa amekufa maji Coco-Beach......
Tunaendelea kufuatilia undani wa habari hii......
Imetolewa na Thimothy Shao Koko
Mwili ukiwa katika machela
Mwili wa Marehemu ukiwa umefunikwa
Wasalia wema…
Mwili ukiwa katika machela
Mwili wa Marehemu ukiwa umefunikwa
Wasalia wema wakiusogeza mwili wa marehemu pembezoni mwa Bahari
0 comments:
Post a Comment