Jana
April 7 2013 bila kufahamu kitakachotokea nilikwenda viwanja vya
Leaders kwa ajili ya kupiga picha na kuchukua habari kwa ajili ya
AMPLIFAYA ya Clouds FM na millardayo.com ambapo nilipokua kwenye stage
na Camera yangu nikichukua matukio wakati familia ya Marehemu Kanumba
ikitoa tuzo mbalimbali kwenye kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha
Kanumba, ghafla nikiwa sijategemea… nikawa mtangazaji pekee na mwandishi
wa website nilieitwa na kupewa hii tuzo ya familia hiyo kutambua
mchango wangu, asante sana kwa familia hii, asante kwa watu wangu wote
wa nguvu wanaonisupport.
Meya
wa Kinondoni, mimi na Mama Kanumba ambapo hii inakua tuzo ya pili
millardayo.com kupata lakini ni tuzo ya tatu mimi kama Millard kuipata.
.
Asanteni kwa love watu wangu wa nguvu, asanteni sana.
0 comments:
Post a Comment