Haya sasa mabingwa wote wa Airtel bingwa kula bata pamoja wikiendi
hii Mbagala. Kama wewe ni bingwa wa kusakata kabumbu na kuonyesha
umahili wa kumiliki mpira njoo leo tuonyeshe jumamosi hii MBAGALA
ZAKHIEM kuanzia saa sita mchana mpaka saa 12 na nusu zawadi kibao
kutolewa jezi, tisheti.Wasanii watakaopanda stajini ni Ney wa Mitego,
Young killer na Vinoko shackers ,Pia wadada…
Huku
tukishuhudia draw ya Mimi Bingwa watu wanavyojishindia mamilioni na
ticket ya kwenda Old Trafford kuangalia live mechi za Man United bure.
Kama haitoishi sasa screen kubwa ya ukubwa zaidi ya mita 4 itaonyesha
live mchezo wa Man United na Newcastle United.
Kiingilio ni BURE.
0 comments:
Post a Comment