Msanii mmoja…
Msanii mmoja ambaye jina lake halikupatikana mara moja, asubuhi ya
leo ameonekana kwenye stendi ya kivuko (Ferry) akitoa shoo mbalimbali za
mazingaombwe na mazoezi ya viungo wakati wakazi mbalimbali wa jiji
wakisubiri kivuko cha pantoni ya kuelekea Kigamboni jiji Dar ambapo
alionekana kama kilema kwa kufanya maajabu tofauti.
Kijana huyo anaonekana ana kipaji kwani ana uwezo wa kuwakusanya watu
kwa kufanya mikogo mbalimbali, ukimkuta katoa pozi la kilema kama una
huruma harakaharaka utaingia mkenge na kumpa pesa kumbe ni mazoezi tu na
anafanya ili kujipatia chochote.
(HBR PICHA NA HAMIDA HASSAN GPL)
Saturday, May 25, 2013
Home »
» ABIRIA WAJIPATIA BURUDANI WAKATI WAKISUBIRI PANTONI
0 comments:
Post a Comment