Nay wa Mitego. Wasanii wanaotamba kwenye gemu la Hip Hop, Fid Q, Nay wa Mitego, Joh Makini, Kala Jeremiah na Stamina wataongoza safu ya burudani leo ndani ya Ukumbi wa Dar live, Mbagala-Zakhem, jijini Dar katika Usiku wa Hip Hop (2013) na Fainali za Shindano la The Vodacom Mic King. Usikose!
0 comments:
Post a Comment