BAADA ya Bendi ya Bunge Modern
Taarabu kufanya uzinduzi wao wa albamu yao ya nyimbo tano iliyokuwa na
jina la 'FU*K YOU'! jijini Dodoma, taasisi nyingine ya sanaa Bungeni ya
Bunge Filamu Production nayo iko mbioni kuzindua filamu yao mpya ya
'Waziri boya'.
Filamu hiyo iliyosheheni
wasanii na watunzi mbalimbali na mahiri katika ya uigizaji inaongozwa na
msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva) Joseph Mbilinyi
maarufu kwa majina ya Mr II ama Sugu.
Yafuatayo ni majina ya washiriki
katika filamu hiyo ....vikundi vyao vya sanaa katika mabano na utunzi wa
kazi zao mbele
-(SUGU:- Mbunge Mbeya mjini Chadema). "Mambo mengine nchi hii hayaendi kutokana na serikali pumbavu, hatuwez kuwa na wazir wa elim boya.
-(LIVINGSTONE LUSINDE:- Mbunge Mtera CCM). "Kuna wabunge ambao wana mimba zisizotarajiwa bungeni.
- (JUMA NKAMIA:- Mbunge Kondoa kskz CCM). "Siongei na Mbwa bali naongea na mwenye Mbwa.
-(PETER MSIGWA:-Mbunge Iringa Mjini Chadema). "Serikali ina tatizo kwa kuwa kuna akili ndogo inatawala vichwa vikubwa.
- (ANNA ABDALA:- Viti maalum CCM). "Sikufurahishwa na kauli ya Lusinde kwamba tunamimba zisizotarajiwa.
-(LETICIA NYERERE:- Viti maalum Chadema). "Kwa kuwa wanaume wengi wanabaka, kifunguliwe kituo wafundishwe kutongoza.
-(ALLY KESI:- Mbunge Nkasi CCM). "Serikali
iruhusu raia walime bangi wapate fedha za kigeni.
-(DIDAS MASABURI, Meya
wa Jiji la Dar es Salaam CCM) "Baadhi ya wabunge wanafikiri kwa makalio.
sources habari mpya
0 comments:
Post a Comment