Esther Bulaya akifafanua jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa michuano ya 'Esther Cup'.
Wanahabari wakimsikiliza mbunge Esther Bulaya.…
Esther Bulaya akihojiwa na mwanahabari kutoka ITV, Amri Massare.
MBUNGE wa Viti Maalum CCM, Esther Bulaya, jana alizindua rasmi
michuano ya 'Esther Cup' itakayofanyaika katika wilaya ya Bunda mkoani
Mara hivi karibuni. Bulaya alizindua michuano hiyo kwa wanahabari jana
katika hafla fupi iliyofanyika katika hoteli ya The Atriums iliyopo
Afrika Sana jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment