Home »
» PICHA ZA MABAKI YA NDEGE ILIYODONDOKA JANA JIJINI ARUSHA
Eneo ambalo ndege iliyoanguka, kutoka eneo hilo mpaka landing truck ni
kama 1km. Mbele ya mabaki hayo ya ndege kuna mti mmoja ambao unasadikiwa kuwa ndege hiyo ilijigonga na kudondoka chini.
0 comments:
Post a Comment