This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Monday, April 8, 2013

some clip kajala parts


SHEREHE YA KUMKARIBISHA KAJALA URAIANI NI LAANA TUPU....WADAU WAHOJI, ANASHEREHEKEA NINI WAKATI MUMEWE ANANYEA NDOO GEREZANI??


"Wanaume tumeumbwa mateso, bonge la party huku mumewe  anafia gerezani...."  Hivi  ndivyo  alivyofunguka  mdau  akielezea  hisia  zake  kuhusu  party  hii  ya  kufuru  iliyofanywa  na  Kajala  Msanja  wakati  mumewe  akiozea  gerezani.

Pamoja na mateso yote waliyoyapa  kajala   na  mumewe wakati  wakisaka  maisha kwa  pamoja  na  hatimaye  kujikuta  wakiingia  mahakamani, leo hii MKE wa  mtu  amesahau  yote  na  kuamua kufanya party ya kufuru ..... 
Je yule aliyefungwa ni  nani  yako KAJALA???. Si alikuwa mumeo jamani ?  Je akisikia wewe wafanya kufuru mtaani wakati  yeye  akiwa  bado  ananyea  ndoo  gerezani  atakuelewaje ???. 
Ni  bora  hiyo  pesa mnayoitumia kwa fujo hapo, ungeenda gerezani na kumpelekea  chochote  mumeo  na  MUNGU  ANGEKUBARIKI  MARADUFU.....

PICHA  ZA  SHEREHE  YA  LAANA



wema na kajala




wema, dj fetty na kajala..

MWANAMKE AVULIWA NGUO ZOTE BAADA YA KUINGIA STENDI YA MABASI AKIWA NA SKETI FUPI NYEPESI

 
 Biahara  zote  zilisimama  kwa  muda  katika  stendi  kuu ya mabasi  ya  Bomet  nchini  kenya wikiendi  hii  baada  ya  kundi  kubwa  la  wanaume  kumvamia  mwanamke  mmoja  aliyekuwa  amevaa  kingua  kifupi  na  kisha  kumvua  huku  wengine  wakimchezea  nyeti  zake.....
Mwanamke  huyo ambaye inadaiwa  alienda  katika  stendi  hiyo  kufanya  booking  ya  basi,alikutwa  na  kisanga  hicho  baada  ya  kuvamiwa  na  kundi  kubwa  la  wapiga  debe  na  vibaka  ambao  walianza  kwa  kumzomea  na  kumrushia  makopo  ya  maji......

Kwa  mujibu  wa  shuhuda  wa  tukio  hilo,sakata  hilo  lilichukua  takribani  dakika  15  za  kumzomea  na  kumtukana  wakiwa  wamemzunguka  kabla  ya  kumvua  nguo  zake.....

"Walimzomea  na  kumtukana  vibaya  huku  wakiwa  wamemzingira.Juhudi za  wanawake  wasamaria  wema  kumuokoa  zilikwama  kwa  kuwa  kundi  lilikuwa  kubwa  na  wao  walikuwa  wanaogopa  kufanyiwa  hivyo"...Alisema  shuhuda  huyo

Mbali  na  shuhuda  huyo,Bwana  Sang  naye  analielezea  tukio  hilo  kwa  kudai  kuwa  ile  sketi  ilikuwa  ni  zaidi  ya  fupi  na  pia  ilikuwa nyepesi  na  ndani  ndani  hakuwa  na  kitu, hali  iliyosababisha  wapiga  debe  hao  wamvae  na  kumvua.....

Bwana  Sang  anadai  kuwa  kesi  nyingi  za  ubakaji  zimekuwa  zikisababishwa  na  wanawake  wenyewe  kutokana  na  mavazi  yao  wanayoyavaa....

Baada  ya  tukio  hilo  kupamba  moto, polisi  walifika  japo  walichelewa  na  hatimaye  kufanikiwa  kumwokea  mrembo  huo  mikononi  mwa  vibaka  hao....

Kutokana  na  tukio  hilo,shirika  la  maendeleo  ya  wanawake  limelaani  vibaya  tukio  hilo  na  kuahidi  kuchukua  hatua  kali  zaidi  endapo  udhalilishaji  huo  utaendelea  na  kufumbiwa  macho....

RAIS KIKWETE AWASILI NAIROBI KENYA KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA RAIS UHURU KENYATTA



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakilakiwa kwa heshima zote baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013
Picture
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakipokea maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013
Picture
Picture
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burian wakipiga picha ya pamoja na wasichana waliowazawadia mashada ya maua mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013
Picture
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi tayari kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Nne wa Kenya Mhe Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu Rais wake Mhe William Ruto katika uwanja wa michezo wa Kasarani kesho April 9, 2013. Mama Salma Kikwete na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dkt Batilda Burian wamesimama pembeni na wenyeji wao (picha zote na IKULU)

ASANTE FAMILIA YA MAREHEMU KANUMBA KWA HII TUZO.

.
Jana April 7 2013 bila kufahamu kitakachotokea nilikwenda viwanja vya Leaders kwa ajili ya kupiga picha na kuchukua habari kwa ajili ya AMPLIFAYA ya Clouds FM na millardayo.com ambapo nilipokua kwenye stage na Camera yangu nikichukua matukio wakati familia ya Marehemu Kanumba ikitoa tuzo mbalimbali kwenye kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha Kanumba, ghafla nikiwa sijategemea… nikawa mtangazaji pekee na mwandishi wa website nilieitwa na kupewa hii tuzo ya familia hiyo kutambua mchango wangu, asante sana kwa familia hii, asante kwa watu wangu wote wa nguvu wanaonisupport.
.
Meya wa Kinondoni, mimi na Mama Kanumba ambapo hii inakua tuzo ya pili millardayo.com kupata lakini ni tuzo ya tatu mimi kama Millard kuipata.
.
.
.
Asanteni kwa love watu wangu wa nguvu, asanteni sana.

CHID BENZ AZINGUANA NA PRODUCER LUCCI BAADA YA KUTAKA KUREKONDI WIMBO BURE



Rapper Chidi Benz na producer Lucci wameingia kwenye mgogoro baada ya kutofautiana katika makubaliano ya wimbo walioufanya pamoja. Chidi anamlaumu Lucci kwa kubadilisha msimamo wake ambapo alidai kumfanyia wimbo huo bure.



Chidi Benz na Lucci wametumia Twitter kulizungumzia suala hilo kama ifuatavyo: 

Chidi Benz: Unachofanya c sawa.usipindishe maneno na usifoc makubaliano.siku tunarekod hukusema khs mkwanja,ulisema tufanyeni kazi.u mi n kk

Lucci: Ofisi na simu zipo, KWELI kuna haja ya kuhusisha watu zaidi ya 7,000? Kwani walikwepo tukifanya kazi? B professional and call me

Chidi Benz: Unahisi hio ni point koz unajaribu kutafuta points.tym tunarekod ulitweet na ukifurahia.mnakimbiliaga huku mwisho.mimi m real. Professional ni wewe kuchange deal,hatuna lazima ya hio kazi but haukua mpango uliopangwa,tumetumia energy.Tamaa imekubadilisha.

Lucci: Kwani mimi sijatumia energy?!? Mara ngapi nimekuambia uje ofisini tuandikishane makubaliano? Hata vya BURE hua na maandishi.

Chidi Benz: Hakukuwa na bure,hatukutaka koz hatukuingia na force kwenu wala hatukuvunja mlango.thou ulituelekeza studio ilipo.Nakuona…

Lucci: Ulitumiwa email ya mkataba na ofisi yangu @TransforMaX_R HUKUJIBU wala hukusema terms unazotaka. JE, nifanye lipi la ZIADA?

Chidi Benz: Unafanya kazi ndio unapewa mkataba au unapewa mkataba kisha unafanya kazi? KK ananambia khs mkataba na mi sina mail. Studio ipo kwenu ndani chumbani I thnk pale,unahisi mtu anaweza toka Ilala na hajui terms zako?hajui anakuja kufanya nini?

Lucci: Cha msingi ni mkataba, na hicho ndiyo kilio changu. Chumbani, Jikoni, kote kazini.

PICHA: LULU MICHAEL, MAMA YAKE NA MAMA KANUMBA WATEMBELEA KABURI LA MAREHEMU KANUMBA


 Muigizaji Lulu, mama yake, na mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba walikua miongoni mwa watu walioshiriki katika misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu marehemu Kanumba afariki dunia, na kutembelea kaburi la msanii huyo Kinondoni, Dar. Lulu, ambaye ana kesi ya kuhusika na kifo cha msanii huyo, yuko nje kwa dhamana. Zifuatazo ni baadhi ya picha za tukio hilo