This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Sunday, June 2, 2013

AIRTEL RISING STARS 2013 YAIVA

Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Bw. Jackson Mmbando, akiongea na makatibu wakuu wa mikoa na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TFF jana.
Katibu mkuu mkoa wa kisoka wa Temeke, Mbarouk Mohammed (kulia) akichukuwa karatasi wakati wa kupanga makundi na ratiba ya michuano ya Taifa ya Airtel Rising Stars iliyopangwa kuanza mwezi Julai, 2013 uwanja…
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Bw. Jackson Mmbando, akiongea na makatibu wakuu wa mikoa na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TFF jana.
Katibu mkuu mkoa wa kisoka wa Temeke, Mbarouk Mohammed (kulia) akichukuwa karatasi wakati wa kupanga makundi na ratiba ya michuano ya Taifa ya Airtel Rising Stars iliyopangwa kuanza mwezi Julai, 2013 uwanja wa Kumbukumbu ya Karume jijini Dar es Salaam. Kushoto ni katibu wa DRFA, Msafiri Kondo.
Baadhi ya makatibu wakuu wa mikoa inayoshiriki michuano ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars wakifuatilia kwa makini kanuni za mashindano hayo wakati wa semina elekezi iliyofanyika TFF jana.
Katibu mkuu wa DRFA Msafiri Kondo akiongea na makatibu wakuu wa mikoa na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa TFF jana.
FAINALI za Taifa za michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 za Airtel Rising Stars zimepangwa kuanza kutimua vumbi uwanja wa Kumbu Kumbu ya Karume jijini Dar es Salaam Julai 2 kwa mabingwa watetezi Temeke wavulana kupambana na Kinondoni.
 Akizungumza wakati wa semina elekezi ya Airtel Rising Stars 2013 iliyofanyika Juni mosi katika ukumbi wa mikutano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Ofisa Maendeleo wa shirikisho hilo Bw. Salum Madadi alisema ARS ngazi ya mikoa imepangwa kuanza Juni 15 hadi 29.
 Mikoa inayoshiriki Airtel Rising Stars mwaka huu kwa upande wa wavulana ni mikoa ya kisoka ya Ilala, Kinondoni na Temeke. Mikoa mingine ni Morogoro Mwanza na Mbeya ambapo kila mkoa unatakiwa kushirikisha timu sita. Usajili wa timu umepangwa kuanza rasmi kesho Juni 2 na kumalizika Juni 11.
Kwa upande wa timu za wasichana, alisema, mikoa itakayoshiriki ni Tanga, Kigoma na Ruvuma na mikoa yote inayoshiriki Airtel Rising Stars mwaka huu iliwakilishwa kwenye semina elekezi na makatibu wakuu ambao walipata fursa ya kupitia kanuni na taratibu za michuano hiyo ya vijana.
Upangaji wa ratiba uliofanyika leo ni wa fainali za taifa pekee kwa kuwa mashindano ya ngazi ya mkoa yataendeshwa na uongozi wa mkoa husika ikiwa ni pamoja na kupanga ratiba yake.
Kwa upande wa wasichana timu zitakazofungua dimba katika fainali za taifa ni Ilala na Kinondoni. Kwa ujumla timu 12 zitashiriki fainali za Taifa, sita za wasichana na sita za wavulana.
 Akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina hiyo, Meneja wa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mbando alitoa rai kwa makatibu wakuu wa mikoa kuwa makini wakati wa usajili ili kupata vijana wenye vipaji ambao wataiwakilisha vema Tanzania kwenye michuanoa ya kimataifa ya Airtel Rising Stars. Vile vile Tanzania itawakilishwa kwenye klini itakayofanyika chini ya makocha wa Manchester United.
Alisisitiza alisema nia thabiti ya Airtel Tanzania kuendelea kusaidia mashindano ya vijana kwa nia ya kuendeleza soka nchini na kuishukuru TFF na wizara inayohusika na michezo kwa kuyaunga mkono mashindano haya.
Naye mgeni rasmi katika semina  hiyo , Katibu Mkuu wa Chama Cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dar es Salaam (DRFA), Msafiri Kondo aliwaomba wadhamini kuendelea kudhamini michuano hiyo ili vijana wa kike na kiume waweze kufikia malengo yao katika soka.

Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, wakiwa katika zoezi la kutoa miili ya marehemu waliopoteza maisha katika ajali ya kuangukiwa na ukuta wa tanki la maji eneo la Machomanne Chake Chake Pemba leo.…

Askari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, wakiwa katika zoezi la kutoa miili ya marehemu waliopoteza maisha katika ajali ya kuangukiwa na ukuta wa tanki la maji eneo la Machomanne Chake
Daktari bingwa kutoka Cuba anayefanya kazi zake Kisiwani Pemba, (jina halikufahamika) akimtibu mmoja kati ya majeruhi waliolazwa katika hospitali ya Chake Chake baada ya ajali hiyo.
Mwili wa mmoja wa marehemu ukishushwa kutoka katika mnara huo.
Wananchi wakiwa katika hospitali ya Chake Chake kuwaona ndugu zao na kutambua miili.
JUMLA ya watu watatu wamefariki dunia papo hapo na watatu kujeruhiwa  baada ya kuangukiwa na ukuta wa mnara wa tanki la maji uliopo Machomanne Chake Chake Pemba, leo saa tatu  asubuhi.
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, Suleiman Hassan Suleiman, amesema kuwa, merehemu hao walifikwa na mauti wakiwa katika kazi ya kuteremsha ukuta wa mnara wa tanki la maji ambao walikuwa wameshaukata.
Kamanda alisema kuwa idadi ya mafundi waliokuwepo kazini hapo walikuwa ni 12 ambapo watatu wamepoteza maisha papo hapo na watatu kujeruhiwa na kulazwa katika hospitali ya Chake Chake na wengine sita walikimbia na jeshi la polisi liko katika utaratibu wa kuwatafuta kwa ajili ya kuelewa hali zao.
Kamanda Suleiman aliwataja marehemu hao kuwa ni Juma Rashid Juma (35) mkazi wa Chanjaani, Suleiman Mohammed Abdiadi 'maarufu kama Golo' (55) mkazi wa Kwale na Salum Muhidini Vuai 'Bandudu' (35) mkazi wa Madungu wote wakazi wa wilaya ya Chake Chake mkoa wa Kusini Pemba.
Na majeruhi katika ajali hiyo ni pamoja na Jackson John (26) mzaliwa wa Iringa na mkazi wa Msingini, Ali Saleh Ali (35) mkazi wa Michakaeni na Yohana Richard (25) mkazi wa Machomanne Chake Chake Pemba.
(Habari/Picha: Abdi Sueliman na Bakari Mussa, Pemba)

MIRAJI KIKWETE ATOA FULANI KWA AJILI YA MSIBA WA MSANII MANGWEHA

Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia).
Miraji akiwa katika pozi na fulana sawa na ya marehemu Mangweha hapo chini.…
Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia).
Miraji akiwa katika pozi na fulana sawa na ya marehemu Mangweha hapo chini.
Marehemu Albert Kenneth Mangweha enzi za uhai wake.
Mdau wa muziki nchini, Miraji Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete leo amekabidhi fulana kwa ajili ya shughuli ya msiba wa msanii Albert Kenneth Mangweha katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.

KIBAKA ACHOMWA MOTO HUKO MBAGALA BAADA YA KUIBA BEGI NA SIMU.....

Jamaa  akimmalizia mtuhumiwa kwa  tofali...
 Kibaka  mmoja  amejikuta  akiyaaga  maisha ya  uraiani  baada ya   kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali....

Tukio hili limetokea maeneo ya mbagala charambe mida ya saa sita mchana baada ya kibaka huyu kuingia  ndani ya nyumba ya mtu na kuiba begi...

Taarifa zinaeleza kwamba, raia mwema ambaye ni mkazi wa nyumba hiyo alisahau kufunga mlango  na  kwenda kwa jirani...Alipotoka tu, Kibaka huyo alizama   ndani na kuchukua begi la nguo taratiiibu kama lake! 

Hakuridhika na begi,  alivyotazama pembeni aliona kuna  simu .Bila  kupoteza muda, kibaka huyo aliihifadhi mfukoni ..

Balaa  liliazanza wakati anajiandaa  kutoka...Alipofika  mlangoni, kibaka huyo alikutana na mwenye nyumba uso kwa uso.....!!! 

SINEMA ILIANZIA HAPO!!!!! Watu mwiziii... mwiziiii mwiziiiiiiiiiii....!!!!! 

Kutokana na uzoefu wake wa muda mrefu, jamaa huyo alibahatika kujisweka ndani  jumba bovu lililoko uchochoroni na kuinusuru roho yake....

Raia wenye hasira kali hawakumuona wakapita, Kufika mbele kidogo walikata tamaa. Wakati wanarudi nyumbani kwao mara ghafla  jamaa  akakurupuka na  kuchomoka kwenye dirisha la lile jengo bovu alikokuwa amejificha....
 
Harakati zikaanza upyaaaaaa!!!!! YAAAANI...!! jambazi hakuchukua raundi akatiwa mikononi... 

MPENDWA msomaji,   mambo yalienda kama tunavyoona hapo pichani.
Moto unawaka!
 Tairi limeletwa
Mwizi  amevishwa tairi na kutiwa moto!

masaimbofu