Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia).
Miraji Kikwete (kushoto) akikabidhi fulana kwa kwa ajili ya shughuli za msiba wa Mangweha. Katikati ni TID na P-Funk (kulia).
Mdau wa muziki nchini, Miraji Kikwete ambaye ni mtoto wa Rais wa
Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete leo amekabidhi fulana kwa ajili ya shughuli
ya msiba wa msanii Albert Kenneth Mangweha katika Viwanja vya Leaders
jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment