![](http://api.ning.com:80/files/JxV1KY1z0zDvx6K7c6QG66P3seGZm5xWFJ7iAvTOstILn5n7IPk*5k*BA5OnpNEMWwVmYPMYB-qkLRRA-h1fLCA6v0FqvY6S/mlela.jpg?width=650)
STAA wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela amedaiwa kumtundika mimba
mwanafunzi aliyefahamika kwa jina moja la Salha, mkazi wa Zanzibar
ambaye anasoma katika chuo cha ITF, Tandika, jijini Dar.
![](http://api.ning.com/files/ZdD89Z*3SRsMjWxXcg59C9goYpr1PZv5pmSCzwWtB09R2kDj1gKjezYtkWswihc3OzvhTDOd83kEiEe3f1mDi3914Ql6gbsg/mlela.jpg?width=650)
Kwa mujibu wa chanzo makini kilichoomba hifadhi ya jina lake kilichopo
chuoni hapo, Mlela alidaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na denti huyo
kwa muda mrefu ambapo mashosti wote wa Salha, walikuwa wakimtambua kama
shemeji yao hadi alipodaiwa kumpa kibendi.
“Unajua shemeji yetu
(Mlela) alikuwa anakuja sana hapa chuoni lakini baada ya kuambiwa yule
Salha ana ujauzito wake, aliruka viunzi na kusema hahitaji mtoto, atoe
mimba.
0 comments:
Post a Comment